Nikitembea na mwanamke mwendo unabadilika...

Nikitembea na mwanamke mwendo unabadilika...

Je kitandan nako huwa unafanya kibaunza??hahahaaa

Huko tena ndio usiombee. Ukinikuta ninavyoshungulika hutaamini ni mimi. Kibaunsa nafanya lakini inategemea na kifaa nilichonacho. Kuna siku moja nilikua namgegeda demu nikajaribu kumbeba nilianguka kidogo nivunjike kiuno. Basi nikajifanya et , "Ah hizi tiles zinateleza" kumbe hamna kitu.
 
basi kimbia.. au ukikimbia utatoa watu nduki utakuwa unakimbia kibabe loh
 
Huko tena ndio usiombee. Ukinikuta ninavyoshungulika hutaamini ni mimi. Kibaunsa nafanya lakini inategemea na kifaa nilichonacho. Kuna siku moja nilikua namgegeda demu nikajaribu kumbeba nilianguka kidogo nivunjike kiuno. Basi nikajifanya et , "Ah hizi tiles zinateleza" kumbe hamna kitu.

Hahaaaaaaa ni shidaaaaa!
 
hivi kumbe kunakubebana wakati wa kufanywa
 
Safi sana endelea hivyo hivyo...tena na wembamba wako... Ukitembea kawaida hata wadada watakua hawaongozani na ww.. Si unajua muda wote huwa wanapenda wawe under security ya mwanaume wanae mwona anajiamin...ahhhhahahah
 
we umeamua kutuchekesha kwa kweli loh hahahahhahhaaaa
 
shosti ndio hao wanaojionyesha vidume njiani wakifika chumbani wanasingizia mlio wa kitanda unaondoa stimu, hivyo kibamia lala

Haya bwana. Mzima wewe. ukitaka kuirudia research yako niko free anytime.
 
Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe mpingo. Nakumbuka kuna msichana mmoja alishanishushua akaniambia "kwani ukitembea normal kuna shida gani" maana na huu wembamba alafu natembea kibabe eti. Kwa kweli nimejaribu kuwa normal nimeshindwa. labda nikiowa.

Hahahahaha angalia tu usitembee kama umevaa kiatu kirefu (mchuchumio)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom