Nikipiga tena huyu mwanamke ntakuwa nakosea?

Nikipiga tena huyu mwanamke ntakuwa nakosea?

Yesu alisurubiwa msalabani baada ya mateso makali yenye kubeba maumivu yaliyompelekea kufa..

Ila kabla ya kufa alisema
"baba wasamehe kwa sababu hawajui walitendalo.."

We njaa ya siku moja tu! Unataka kutoa kipigo...

Msamehe
Muache aende alipoalikwa
Akirudi mkalishe Muongee kama Watu wazima naamini ataelewa
YESU yupo hai,na hakufa. ... yupo mbinguni na atashuka duniani
 
Kijana vunja n'guu yake huyo, tu one jeuri yake. .lol just kidding. . Piga fimbo
 
hahaa sunna ni nini muaa naona kuna code language hapa
hao wenyewe wakikuambia watakupatia binti wa suna, wana maana yao na wanaoielewa maana ndio huwa wanawapata hao mabinti. ila ni uhakika bikira ya mbele. manake hiyo ndio ya muhimu kwao.
 
Pamoja na kwamba kuna wakati wanawake wanakera sana ila ni hatari sana kumpiga.Unaweza ukampiga kofi moja lakishkaj kumtoa wenge ila yeye akalipuka kwa makelele had hasira zikakupanda ukajikuta umefanya jambo ambalo linakuja kuharibu maisha yako.Dawa ya mwanamke ni mwanamke.Sasa wewe ndugu yangu una nyimbo moja kwenye CD alafu inascrach na unasikiliza wimbo huo huo kila mara kwanin usikutane na hayo.Kuishi na mwanamke uwe na furaha kunahitaj akili zaid badala ya nguvu na hisia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom