Nikipiga tena huyu mwanamke ntakuwa nakosea?

Nikipiga tena huyu mwanamke ntakuwa nakosea?

We endelea kuongea na sisi huku hadi atakapokuwa amerudi.
Mwandalie chakula jion kabisa. Utakuwa umempiga kupita maelezo.
Usisahau kutuletea mrejesho ukifuata ushauri huu.
 
Walah ruhusa ningetoa ila akirud anamkuta mwenzie anaandaa chai lunch mpka Dina sitak upuuz
 
We endelea kuongea na sisi huku hadi atakapokuwa amerudi.
Mwandalie chakula jion kabisa. Utakuwa umempiga kupita maelezo.
Usisahau kutuletea mrejesho ukifuata ushauri huu.

Hahahaahaha mi ata kupika siwezi kabisa si bora ata nisijue maana mama ntilie siku hizi wanatuwezesha
 
Mkuu kodi ya meza uliacha???? tuanze hapo kwanza.

Ndani nina kilo 25 za sukari majani yapo ya miezi sita, mahindi, mchele, maharage na viazi kisadolini nimenunua jana.... mbona umnawaza hela sana sie tunazzo kila wakati?
 
Hizi thread za jamiiforum kuna jinsi zinavonijengaa mimi.kwa kweli bado nipo nipo sanaa tu
 
Ww kubali tu wenzio wanakusaidia kugegeda
 
Yeye ndio chef wako???

Jamani unashindwa kutengeneza hata chai???

Acha tu hao wanawake wawapande vichwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom