BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Inawezekana aisee
Maana angeacha hela lazima mazagazaga yangekuwa yameandaliwa
Si ajabu ndio wale wanaowaambia wenza wao "wafanye maarifa"
Maana angeacha hela lazima mazagazaga yangekuwa yameandaliwa
Si ajabu ndio wale wanaowaambia wenza wao "wafanye maarifa"
Kosa linaanzia kwako kutokana na hii story yako, demu anaomba hela kwa njemba lingine wewe upo wapi kumpatia, na huenda hata demu hajatenga chai kwa kuwa hujaacha hela ya matumizi, na unategemea mida hii abaki hapo nyumbani muangaliane atakula nini? Umekazana na kuandaa kipigo
think before you act