jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Herini ya siku kuu ndugu zangu bila kujali dini na wakaribisha wote tusherekee pamoja.
Yapata muda mrefu sasa tokea nimempata huyu dada na kua nae na mahusiano ya kimapenzi, kama mwanaume najua heri ukosee vyote lakini sio kuoa.
Huyu bi dada aliniahidi mengi ikiwemo kunipenda na kweli nayaona hayo ana jali sana, ila cha kushangaza kumsoma ni ngumu sana kutokana na haya ya fuatayo;
1.hayupo open sana yani ni mtu wa short end clear
2. Sio mwongeaji kabisa , hata nikiwa nae haongei mpaka nianzishe stori na nitajikuta naongea mwenyewe tuu huku yeye akiwa msikilizaji tuu
3. Ukimuuliza jambo majibu yake mengi yapo closed.. yaani ya ndio au hapana au ok
4. Ni mkimnya sana mpaka inashangaza kabisa
5. Haonyeshi kucheka kabisa hata ukipiga stori za kumfurahisha, anaonyesha umakini sana hata ukiongea nae na yupo serious sana kupita kiasi
Naombeni msaada hapa maana sio mtu anaefunguka kabisa yani ni ngumu sana kumuelewa kwa kweli ananipa mtihani mkali sana ndugu zangu.