Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

Magufuli alistahili hiyo 75 ya Mzee Mkapa. Huyu bwana wa chato Amngemaliza miaka 10 Tanzania tungekuwa mbali sana kimaendeleo.

Kuna mambo mengi Aliyafanya Magufuli kwa miaka 5 Mambo Ambayo hata mwalimu Alishindwa kuyafanya kwa miaka 20 aliyotuongoza.

Hivyo Magufuli anastahili kupigiwa mfano kabisa katika history ya nchi yetu.

Unaweweseka na operation kimbunga?! JK ndiye aliyefurusha wale vibaka wenu M23 na bado alimpa za uso jamaa yako akae na wapinzani wake mezani, jamaa akanuna na kutafuta sympath ya "jenosaidi".

Chuki dhidi ya JK haitakusaidia lolote.
 
We ni mnyarwandwa bila shaka...!! Itakuwa umeumizwa na kile JK alichomfanyia PK kule mpakani na nchini Kongo..!! Pole sana!!
 
We ni mnyarwandwa bila shaka...!! Itakuwa umeumizwa na kile JK alichomfanyia PK kule mpakani na nchini Kongo..!! Pole sana!!
Siyo tu ni Mnyarwanda pia natokea Kabila lililobarikiwa Akili Afrika nzima na tunafanana na Wayahudi na Wazanaki tu pekee la Watutsi ( Tutsi ) na najivunia hilo Kabila na Rais wangu Mchapakazi, Mwerevu, Shujaa, Makini na Jemedari Paul Kagame.
 
Kwangu:
1. Nyerere
2. Mkapa
3. Kikwete
4. Mwinyi
5. Samia
6. Magufuli
 
Kwa hiyo unasema kikwete alikuwa hamn kitu zaidi ya kuiba hela na kusafiri tu kila siku??
 
Siyo tu ni Mnyarwanda pia natokea Kabila lililobarikiwa Akili Afrika nzima na tunafanana na Wayahudi na Wazanaki tu pekee la Watutsi ( Tutsi ) na najivunia hilo Kabila na Rais wangu Mchapakazi, Mwerevu, Shujaa, Makini na Jemedari Paul Kagame.
Acha kudhalilisha watu mzee!! Yaani Myahudi awe na hako kaakili?
 
Nani ataheshim upumbavu hayawan wew
 
Ni kweli watu ambao hawajui Mzee Mwinyi alikuwa kiongozi mzuri ni wale ambao hawajafanya kazi na viongozi wa awamu zote hizo. Binafsi wa kwanza ni Mwalimu kisha anafuata Mzee Mwinyi. Wengi waliofuata ama hawakujua utawala au hawakuwa waadilifu au hawakuweza kusahihisha makosa yao walipogundua kuwa wamekosea. Wote wamefanya mambo kadhaa mazuri lakini si kwa mpangilio huo unaoneshwa hapo. Kiongozi anayejitambua ana mapungufu huendesha utawala shirikishi. Mzee Mwinyi was very smart on this na hakuwahi kumfanyia hiana mwananchi ye yote kwa makusudi. Pia ingawa Mzee Mwinyi siyo dini yangu namtambua kwa dhati kuwa ni mcha Mungu. Siku Watanzania wengi watapotambua mchango wa uongozi wa Mzee Mwinyi tutakuwa tumemtendea haki. Sasa kachoka tusimtegemee wala tusimpime kwa sasa. Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu azidi afurahie maisha yake yaliyobaki bila maradhi.
 
Siyo tu ni Mnyarwanda pia natokea Kabila lililobarikiwa Akili Afrika nzima na tunafanana na Wayahudi na Wazanaki tu pekee la Watutsi ( Tutsi ) na najivunia hilo Kabila na Rais wangu Mchapakazi, Mwerevu, Shujaa, Makini na Jemedari Paul Kagame.
Hiyo akili ya Kiyahudi kama kuna kitu kama hicho mmeipata hapa Tanzania! Siyo Israel, Ulaya wala Urusi.
 
Umemuelezea vizuri mpaka umewakela wajinga
 
Nyerere ni only 40%
Mwinyi 30%
Mkapa 45%
Kikwete 50%
Magufuli 10%
Samia 60%
Sio kuvaa viatu vya Nyerere ni kusukuma Taifa mbele Kwa utulivu Na furaha.
Nyerere alikua muongo Sana zaidi ya umoja mengine yote alifeli sana.
Magufuli aliua Taifa na utaifa. Adhabu ya Sabaya ni ya Magufuli. Ukitaka kumpiga mzazi Mpigie mtoto.
Ila sababu Genta ni Sukuma gang kaa Na mawazo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…