GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,876
- Thread starter
- #241
Pumbavu kama wangu hauko sawa anzisha wako ulio sawa na nadhani nilishaonya mapema tu kuwa Mtazamo wangu huu Uheshimiwe.Mtazamo wako haupo sawa
Hi Tanzania unayoiona Leo msingi wake aliujenga Mwinyi
Kutokaka katika SOCIALISM kwenda katika CAPITALISM
kutoka katika DEMOCRACY ya chama kimoja kuenda katika DEMOCRACY ya vyama vingi
Kama utamsifia mkapa kwa kukusanya kodi vizuri basi tambua kuwa hiyo miundombinu iliyomfanya Mkapa akusanye kodi ilijengwa na Mwinyi
Mwinyi hakuweza kukukusanya kodi kwa sababu hivyo vyanzo vya kukusanya kodi havikuwepo
Kulikuwa hakuna viwanda vya uzalishaji
Kulikuwa hakuna makampuni kama voda ,tigo na Airtel
Kulikuwa hakuna wafanya biashara wakubwa kama akina Bakharesa, Mo, na akina Mengi
Mwinyi ndio akawatengeneza hao wote hatimaye kazi ya Mkapa ikawa raisi sana
Mimi Mwinyi nampa 100% ya mafanikio