GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya Kufa ( Kufariki ) Kwake.
Kama mnampenda mno Hayati Magufuli ( japo tunajuana baadhi yenu ni Wanafiki na mmeshukuru kutokuwepo Kwake ) mpaka kumuwekea Mashada kwanini tu basi msitenge Siku yake Maalum lakini siyo Kudandia na kuharibu maana halisi ya Siku ya Nyerere ya leo?
Najua mtakuja na sababu zenu na majibu yenu yenye Utetezi wa Kiitifaki ila GENTAMYCINE sitowaelewa na msipoteze muda wenu Kunifafanulia kwani kiukweli Mmenikera kufanya Tukio siyo katika Siku ya Mtu Muhimu zaidi kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Halafu acheni Kutumia Uzee ( Ukongwe ) wa Mjane wake Mama Maria kwa Kumtumia katika Matukio yenu mengine yasiyo na maana ili tu Kutuonyesha kuwa hata Yeye na wana Familia wake Wanaridhika kwa Upuuzi na Unafiki wenu.
Mashada ya Maua kwa Siku ya leo 'Logically' yalipaswa yakawekwe sana pale Mwintongo Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na siyo Chato Mkoani Geita.
Upuuzi wenu huu wa leo umenikwaza!!!