Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Kwenye CCM Hakuna kuanzia huyo aliyekianzisha chama mpaka Leo
Tuendelee kunywa mtori. Nyama tutazikuta chini
Kwenye CCM Hakuna kuanzia huyo aliyekianzisha chama mpaka Leo
Ni kwamba aliweza kuvivaa viatu vya mzee Julius kwa 5% tu, ile 95% ilibaki tupu. Sina uhakika kama alishindilia makaratasi na matambara au aliiacha wazi akawa anaburuta viatu 😂😂Hiyo 5% sijaielewa vizuri!
Kama akina nani labda? Wataje tu Mkuu.
Anzisha Uzi wako uwape Wewe hizo Percentages zako za Kipumbavu sawa? Zangu Mimi GENTAMYCINE ni hizo hamzitaki au zinawachukiza sawa tafuteni Sumu ya Panya Korogeni katika Vikombe mnywe Mfe.Asilimia Ya Mkapa mpe Mwinyi, na ya Magufuli mpe kikwete.
Dini yako imekuongoza kutoa mtazamo wako. UmeelewekaMwinyi 35% ( Alifeli )
Mkapa 75% ( Alifaulu )
Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )
Magufuli 50% ( Alifaulu )
Samia nitampima rasmi ifikapo 2025
ANGALIZO
Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.
Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Mkapa 75% ( Alifaulu
Magufuli 1%Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mwinyi 35% ( Alifeli )

The place where we speak openly,Anzisha Uzi wako uwape Wewe hizo Percentages zako za Kipumbavu sawa? Zangu Mimi GENTAMYCINE ni hizo hamzitaki au zinawachukiza sawa tafuteni Sumu ya Panya Korogeni katika Vikombe mnywe Mfe.
Wasisahau KUKAUSHA MWILI KAMA WALIVYOKAUSHA MWILI WA NYERERE WAZUNGUMwinyi 35% ( Alifeli )
Mkapa 75% ( Alifaulu )
Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )
Magufuli 50% ( Alifaulu )
Samia nitampima rasmi ifikapo 2025
ANGALIZO
Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.
Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Mawazo yako yaheshimiwe.Mwinyi 35% ( Alifeli )

alikua raisi jasiri na mvumilivu kuliko wote. Aliyukanwa (mpaka na nyerere mwenyewe ) ila alikua mvumilivu sana
kuitoa nchi kutoka katika mfumo wa ujamaa kwenda soko huria tena katika kipindi ambacho treasury kulikua kweupe kabisa. Yani jamaa alirithi nchi ikiwa haina hat senti.
kuleta demokrasia ya vyama vingi ambayo mpaka Leo tunajivunia. Ingawa bado haijaiva ila tutafika tu.
kilinda muungano, kwani yeye alijua dhahiri adha za muungano. Hakirupuka kuuvunja ila alijitahidi sana kuutafutia ufumbuzi baada ya kuharibu
kitu muhimu bila kusahau ni kuilinda legacy ya NYERERE. Haliwa na hiyana. Angewaza kufanya kama alivyofanya mwenda zake kuwafanya maraisi waiopita kama si kitu. Ila yeye alikua mstariwa mbele kilinda legacy ya nyerere. Kamaangeua kumchafua nyerere landa Leo hat Nyerere day tusingekuwa nayo.
Mkapa 75%? ameuza migodi kwa bei rahisi kwa wazungu huyu. anyway JPM ndio ningempa 75 kwa kuhamisha srikali dom, bwawa la nyrerere na kuwabana wazungu kwenye madini. hizi ni ndoto na maono ya nyrerere