Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Mbona Una hasira ?!Ulikuwepo?
Maneno ya Kigogo na vijiweni ndo unatuletea huku??
Nenda Facebook, huko mahali pa watu kama wewe!
JamiiForums mobile app
Aliruhusiwa hata kukabidhi ?!
Mbona Una hasira ?!Ulikuwepo?
Maneno ya Kigogo na vijiweni ndo unatuletea huku??
Nenda Facebook, huko mahali pa watu kama wewe!
JamiiForums mobile app
Usichokijua ni kuwa CS hawezi kuwa katibu wa chama at the same time hivyo cheo chake kilikoma mara tu alipoapa.Mbona Una hasira ?!
Aliruhusiwa hata kukabidhi ?!
Kwamba hakusogelea eneo la kikao ?!Usichokijua ni kuwa CS hawezi kuwa katibu wa chama at the same time hivyo cheo chake kilikoma mara tu alipoapa.
JamiiForums mobile app
Jinuun katika ubora wakeMwinyi 35% ( Alifeli )
Mkapa 75% ( Alifaulu )
Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )
Magufuli 50% ( Alifaulu )
Samia nitampima rasmi ifikapo 2025
ANGALIZO
Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.
Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Alisogea akiwa kama nani?Kwamba hakusogelea eneo la kikao ?!
Hakuna swali lililoulizwa hapo. Nilichokiona ni uwezo wa kiwango Cha chini kabisa wa kuielewa Tanzania na historia yake na pia historia ya Mwalimu na dunia kwa ujumla...aliyezaliwa miaka ya 2010 na hakupata hata elimu ya msingi ndiyo anaweza kutoa comments Kama hizo...unless niambiwe comments hizo zilikuwa ni mzahaJibu maswali yangu kwanza halafu na mimi nitakujibu.
ID yako inaeleza Kila kituNyerere ni only 40%
Mwinyi 30%
Mkapa 45%
Kikwete 50%
Magufuli 10%
Samia 60%
Sio kuvaa viatu vya Nyerere ni kusukuma Taifa mbele Kwa utulivu Na furaha.
Nyerere alikua muongo Sana zaidi ya umoja mengine yote alifeli sana.
Magufuli aliua Taifa na utaifa. Adhabu ya Sabaya ni ya Magufuli. Ukitaka kumpiga mzazi Mpigie mtoto.
Ila sababu Genta ni Sukuma gang kaa Na mawazo yako.
Kigogo usimchukie . Wakati wenye mamlaka wakiwadanganya wananchi kiongozi yuko salama ofisini anachapa kazi. Yeye alisimamia ukweli wake . Leo waliokuwa waongo ndiyo hao hao wako high table . Kigogo na ukweli wake anaonekana mdanganyifu.
Maswali yapo na si ya mzaha, ngoja niyarudie tenaHaku
Hakuna swali lililoulizwa hapo. Nilichokiona ni uwezo wa kiwango Cha chini kabisa wa kuielewa Tanzania na historia yake na pia historia ya Mwalimu na dunia kwa ujumla...aliyezaliwa miaka ya 2010 na hakupata hata elimu ya msingi ndiyo anaweza kutoa comments Kama hizo...unless niambiwe comments hizo zilikuwa ni mzaha
kwasababu alitaka kumchapa PAKA?Tena naona nimempendelea sana JMK.
Daahh hii yako nayo ni mpya.Nyerere ni only 40%
Mwinyi 30%
Mkapa 45%
Kikwete 50%
Magufuli 10%
Samia 60%
Sio kuvaa viatu vya Nyerere ni kusukuma Taifa mbele Kwa utulivu Na furaha.
Nyerere alikua muongo Sana zaidi ya umoja mengine yote alifeli sana.
Magufuli aliua Taifa na utaifa. Adhabu ya Sabaya ni ya Magufuli. Ukitaka kumpiga mzazi Mpigie mtoto.
Ila sababu Genta ni Sukuma gang kaa Na mawazo yako.
Mimi nadhani watanzania wengi hawajui umuhimu wa nchi kuwa na dira inayoeleweka. Mwanzihsa thread hapa anajaribu kuelezea marais waliyofuata vizuri dira ya nchi (ambayo kwa maoni yangu, Nyerere alifanya vizuri). Kikwete na Mwinyi wali-deviate kabisa na kuja na dira zao ambazo ziliharibu na kuhujumu maslahi ya nchi yetu. Samia nasikia yeye ndiyo kabisaa haziiviani na Nyerere na ndiyo maana hata Nyerere Day ya jana alifanya vitu tofauti kabisa.Hakuna haja ya mtu kuvaa viatu vya mwenzake, Kila mtu avae viatu vyake.
Mimi nadhani watanzania wengi hawajui umuhimu wa nchi kuwa na dira inayoeleweka. Mwanzihsa thread hapa anajaribu kuelezea marais waliyofuta vizuri dira ya nchi (ambayo kwa maoni yangu, Nyerere alifanya vizuri). Kikwete na Mwinyi wali-deviate kabisa na kuja na dira zao ambazo ziliharibu na kuhujumu maslahi ya nchi yetu. Samia nasikia yeye ndiyo kabisaa haziiiani na Nyerere na ndiyo maana hata Nyerere Day ya jana alifanya vitu tofauti kabisa.
Kama Mamaako vile.....!!!Jinuun katika ubora wake
Mtazamo wako haupo sawaMwinyi 35% ( Alifeli )
Mkapa 75% ( Alifaulu )
Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )
Magufuli 50% ( Alifaulu )
Samia nitampima rasmi ifikapo 2025
ANGALIZO
Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.
Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Angethubutu aone kama Tanzania nzima isingekuwa Mali ya Rwanda. Mshukuruni sana Hayati Mkapa, Mzee Butiku na akina Profesa Mwandosya pamoja na Rais Museveni kwani Rwanda ilikuwa inaenda Kuifundisha Adabu Tanzania na msingeamini Macho na Masikio yenu.kwasababu alitaka kumchapa PAKA?