Nikimfanyia haya Utafiti hachomoki wallah!

Nikimfanyia haya Utafiti hachomoki wallah!

rabeka mume wangu utafiti unaniumiza lakini,ckujua kama mapenzi yatakua machungu hivi

Nimekuita nataka ukae na mimi maana naona hawa viumbe wanatuchafulia hali ya hewa
 
Last edited by a moderator:
a2dccdd27bd411e3b4f212fe7764450a_8.jpg


Staftahi kitandani

CC: utafiti
Zinduna naomba achana kabisa na wanaume wa watu,tunandoa yetu yenye amani usitafute tuanze ugomvi
 
Last edited by a moderator:
we utafiti nikuweke kwenye kundi gan jaman?juzijuz umeniambia mwallu muongo wala humpendi leo tena kwa Zinduna ndo nini icho?tena unaongea bila hofu yoyote!nikupe nini mpenz wangu uridhike na mimi jaman? Wapi miss chagga uje kuona umburula na ufataki wa baba ako

mama baba yngu wanawake wanamtaka sana Zinduna anamtongoza baba yangu kwa kutumia chakula
 
Utafiti angekuwa hiyo laptop ktk avatar yako angefurahi zaidi,tena angetamani muda wote uwe unasafu jeiefu!lol
 
Back
Top Bottom