Hizo ni soseji au nanihii!???
ila nilitaka wewe ndio uwe mama mkwe wangu
mbona wanipazambi , hujui nawapendea wapi....?zambi hizo
mbona wanipazambi , hujui nawapendea wapi....?
Taratibu mkuu.
Nilikuwa napeleka.posa nikaulizwa nina visima vingapi vya mafuta.
Ikabidi nifunge hand breki mwenyewe, maana ile breki ya kawaida sikuiamini sana.
Kwa sasa nipo nipo Mwana FA ana afadhali.
vya ndani....!wawapendea wapi?
sina mtoto mbona
mtoto wa kambo
Zinduna hapa sichomoki kweli, kila kitu namalizia bed? Raha ilioje niende nje kufata nini????