We mtoto una Kiranga kama nini, toka lini ukawa manju wa ngoma za kilugwai, utasutw2a na mkondombwe ujinga ukutoke
Sijui kwakweli my dear bt mimi nipo njia kuu michepuko haina dili
my dear nakuamini sana!achana nao hao,baby wangu bye tutaonana badaye nyumbani.love u much much,mmm...mwwwaaah
We mtoto una Kiranga kama nini, toka lini ukawa manju wa ngoma za kilugwai, utasutw2a na mkondombwe ujinga ukutoke
We mtoto una Kiranga kama nini, toka lini ukawa manju wa ngoma za kilugwai, utasutw2a na mkondombwe ujinga ukutoke
mama kaniita kiranga ndo nini hiki?miss chagga mwanangu hata asikutishie maisha huyo Zinduna,hapo 2 haikai wala 3 haisimami,mwanahidhaya asiyejua vibaya jambazi wa wanaume wa watu .
mmh mi nimeomba msamahaUFAFANUZI KWENYE RED TAFADHARI ...NIMEANGALIA KAMUSI ZANGU MATOLEO YOTE SIJAFANIKIWA...
![]()
WEWE HAPO ULIMPENDEA NN??my dia utafiti bora umekuja,nilitaka kukuuliza what so special about you mbona unaanzishiwa thread nyingnying ivo?
Lengo langu ni kukueleza yaliyo moyoni mwangu,nakupenda sana hadi najishangaa,nipo serious kabisa,nakupenda si utani ndo maana nimeamua kufunguka hadharani!I am Tanzanian lady,kama umeoa nipo tayari kua nyumba ndogo au spea tairi.
hebu check Zinduna anauotoa kijicho!utakula kwa macho hadi yatoboke