Nikimfanyia haya Utafiti hachomoki wallah!

Nikimfanyia haya Utafiti hachomoki wallah!

Utampa uwanja wa mazoezi?

aku mie nitakusemea kwa baba

big-drooling-smiley-emoticon.gif
 
Zinduna hapa sichomoki kweli, kila kitu namalizia bed? Raha ilioje niende nje kufata nini????

we utafiti nikuweke kwenye kundi gan jaman?juzijuz umeniambia mwallu muongo wala humpendi leo tena kwa Zinduna ndo nini icho?tena unaongea bila hofu yoyote!nikupe nini mpenz wangu uridhike na mimi jaman? Wapi miss chagga uje kuona umburula na ufataki wa baba ako
 
Last edited by a moderator:

Nachokupendea mpenzi wangu kukucd ni muelewa sana...niende kwa nani mimi? Usiwaskilize majirani hawafai hawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom