Nikimfanyia haya Utafiti hachomoki wallah!

Nikimfanyia haya Utafiti hachomoki wallah!

Tyta we acha tu hata akisemeki, sitaki kueka hadharani madunga embe wataongezeka.usikute we mwenyewe unammezea mate utafiti wangu

dirty-language-smiley-emoticon.gif
 
Mchumba mshenga kashafika?

Nimekatazwa kuongea nawe kigori wangu mpaka wazee wayamalize kwanza, naweza kupatwa ashki nikavunja tendegu kabla fungate bure!

Mambo ya aibu siwezi ati.

We nawe hadi leo hujui lugha ya mwili?
Chelea mwana utakuta si wako, shauri yako!
 
Back
Top Bottom