Nikikumbuka naumia sana

Nikikumbuka naumia sana

Nakushangaa pamoja na kuhudumia note kule Bikra kaila mwingine tena na Mimba juu....Leo akaona arudi kwa Bwege wake wa zamani na wewe etii unampa hadi nafasi ya kumfikiria na hata zaidi unamfungulia Uzi humu....Hii inaonesha ni Jinsi gani anavyokuona kua wewe huna maisha mengine pasipo yeye....Nikushauri tuu kua nae ila Mimba ya pili atampa tena jamaa yakeee.....Damn
Mkuu....siwezi kuwa nae ndio mana miezi mitatu hatufanyi mawasiliano licha ya yeye kunitafuta
 
dah watu mnahudumia tu....ahahahaha mna moyo sana..anyway kama ni mimi bishafunga kurasa,,,kwa wewe utajua tu la kufanya.....ila jua hawa hawatakagi a good man au mtu anayejali sana..wanataka rough man vurugu kama hizo mara kofi mara wanawake ndio wanaona wamepata so if u play innocent man ur a looser to them
Ananitumia sms za kusema wewe mme mwema umetulia Hauna makuu ila simjibu sms zake
 
Achana nae huyo, angekuwa hajazaa hapo sawa. Unaanzaje kurudiana na mwenzio ashakuwa single mother? Piga chini tafuta mwanamke mwingine, kwanza mpaka hapo hana shukurani mi naona kama anazidi tuu kukumbusha machungu ya kuvumilia 2 yaers without sex, wakati huo mwenzio alikuwa anakudanganya.
Kwaio unahisi kama asingezaa ingekuwa simple kurudiana
 
Sasa mwaka ambao ndio naanza first year kuna binti alikua yupo second year ila umri mdogo kuliko hata mimi tulianzia urafiki mwishoe nili approach akakubali ...

Binti alijaribu kuniweka karibu sana na Kunifanya kuwa mtu wake wa karibu sana na kunipa faraja kanisani tulikua tunaenda wote kusoma wote ila yeye course nyingine...

Hapo sasa! kakutangulia mwaka, mara mnasoma pamoja!!!!
 
Kusoma pamoja yaani chuo kimoja mkuuu....au ulihisi one class
 
Habari wana MMU,,,?
moja kwa moja niende kwenye mada kuwa miaka michache huko nyuma nilikua na mahusiano na binti mmoja hivi ..
Kipindi Naanza chuo mana nilivyomaliza form six sikuunga chuo nilikua home nafanya shughuli zangu za Kimaisha ( michakato ya kiuchumi)
Sasa mwaka ambao ndio naanza first year kuna binti alikua yupo second year ila umri mdogo kuliko hata mimi tulianzia urafiki mwishoe nili approach akakubali ...
Yule Dada home kwao bwana kumbe hali ya kiuchumi haikua fresh kabisa na wakati huo alishatelelezwa na mama yake alikua anaishi na baba yake ( R.I.P) mwaka huo huo ambao tulikua tumeanza mahusiano. .
Kiujumla nilikua nampa sapoti kwa namna moja au nyingine kiuchumi hapo chuo na hata baadhi ya gharama za chuo nilikua nampa support mana mda mwingi sana alikua ananiomba nimpe support. .
Tulidumu almost ndani ya miaka miwili ila Sikuwahi hata kula mzigo wakati huo aisee Dini ilikua nimeishika sana na nilikua Sikuwahi kujiingiza masuala ya sex yule binti niliwahi kumuomba kama mara mbili hivi aligoma na kusema dhambi mpaka ndoa....
Kumbe dada wa watu saivi mama nanii huko uliko arusha Mungu akupe neema kwa magumu unayopitia. .
Binti wa watu alikua Bikra na pia aliweka promise na mtu wa huko kwao kuwa watakuja kuoana licha ya jamaa alishindwa uvumilivu aliamua kuzaa na mwanamke mwingine. .
Binti alijaribu kuniweka karibu sana na Kunifanya kuwa mtu wake wa karibu sana na kunipa faraja kanisani tulikua tunaenda wote kusoma wote ila yeye course nyingine...
Ilikua kila Nikimwambia kuhusu suala la kuja kuoana alikua anatoa vikwazo kuwa wanaume sio waaminifu kabisa na alikua analia kabisa kuwa hapendi kusikia suala hilo. .
Kumbe mwenzangu alikua anakumbuka jinsi gani mtu ambaye amewekeana promise naye ya kuja kuoana kuvunja kwa maana kuzaa na mke mwingine. ..
Mwaka wa tatu yule jamaa wa home kwao alikua anaomba msamaha kwa chini chini sana ila mwanamke bado alikua hajaridhika. .
Mimi nilikua sijui yalikua ya siri sana
Basi mimi Nilijitahidi Kadri ya uwezo wangu kujitoa kwake...
Hadi alipomaliza chuo ndani ya miezi sita ya mwanzo kila baada ya siku tatu au tano elfu 30 ,40 , 50 Niliweza kumpatia ili kuweka mambo sawa home mana wadogo zake mmoja alianza form one mwingine la sita ..alikua hana kazi wala alikua hajapata internship yupo tuu vijijini na bibi yake ..
Basi Kumbe wakati yupo mtaani jamaa ndio alikua anatumia nguvu kubwa sana kumshawishi yule mwanamke kuwa amsamehe na waanze upya jamaa Alitumia Njia anazojua mwisho wa siku kapata mke wake. .
Kwa upande wangu binti aliniambia kuwa wacha aanze maisha yake Binafsi mana anataka kuwa huru niliumia sana rafiki yake na yule binti aliniambia yote kuwa Mwenzako ameuridiana na mtu wake...
Basi nilipiga moyo konde japo Niliumia Sana aisee...
After one year a head yule binti alianza Kunitafuta na kutaka urafiki wetu urudi kama awali wakati huo kumbe yule jamaa mke ambaye amezaa naye aiseee sekeseke kubwa sana huko ..
Binti alishindwa matala mana jamaa alianza kuweka zamu ya kulala kwa wanawake zake kitendo hicho kilimkasilisha sana yule binti..
Rafiki yake alinipa habari zake na kuwa Kilichosababisha haya yote yule binti alikua anampenda sana jamaa alijua jamaa atabadilika kumbe la hasha...
Akajikuta anaanza kukumbuka upendo wangu na kuanza kuomba urafiki urudi na kuniambia tu kuwa kwa kipindi ambacho hatukuwa na mawasiliano alibahatika kupata mtoto mmoja...
Mimi sikumjibu chochote kile nipo zangu cool tuu mpaka leo miezi mitatu anaomba urafiki urudi nipo zangu najishughulisha na mishe zangu tuu mana chuo Nimesha Maliza. .
Kila nikikumbuka hii naumia sana nilikua mtu wa Aina gani kipindi hicho...
Aah Ila mzee kwa gharama ulizoingia me ushauri wangu mkubalie arudi,

Akirudi kula mzigo kama mara mbili au tatu+ hv kisha baada ya hapo mteme aendelee na maisha yake
 
Acha uzembe. Nenda kajilie zako papuchi afu uchape mwendo. Malipo mengine ni hapahapa duniani.
Shida sio uzembe

Maisha Ya visasi kwa Binafsi yangu siyapendi na visasi havijengi ndio mana nipo kimya sijamjibu kitu chochote kile nipo kimyaa tuu miezi mitatu na zaidi ananitafuta tyuu ila nipo cool a natuma watu na rafiki lakini hakuna matumaini
 
Aah Ila mzee kwa gharama ulizoingia me ushauri wangu mkubalie arudi,

Akirudi kula mzigo kama mara mbili au tatu+ hv kisha baada ya hapo mteme aendelee na maisha yake
Hahaa...eti kula mzigo halafu nimteme kama ana mgonjwa yake
 
Shida sio uzembe

Maisha Ya visasi kwa Binafsi yangu siyapendi na visasi havijengi ndio mana nipo kimya sijamjibu kitu chochote kile nipo kimyaa tuu miezi mitatu na zaidi ananitafuta tyuu ila nipo cool a natuma watu na rafiki lakini hakuna matumaini
Basi acha kulialia. Ushasomeshea wenzio... acha wafaidi matunzo yako.

BTW hebu nipe namba zake nimuulize kwanini kakufanya zoba we mtoto wa mwanamke mwenzie...
 
Basi acha kulialia. Ushasomeshea wenzio... acha wafaidi matunzo yako.

BTW hebu nipe namba zake nimuulize kwanini kakufanya zoba we mtoto wa mwanamke mwenzie...
Wakati saivi yupo wakati mgumu sana yani kaachwa na mtoto wa miezi mitatu halafu hana kazi ambayo inampa hata buku kwa siku baba hana yupo yupo tuu ndio mana anarudi kutaka huruma kwangu
 
Back
Top Bottom