Nikikumbuka naumia sana

Nikikumbuka naumia sana

Ndio mana saivi nimemchunia kimyaaa ..na vi sms vyake mara ohoo baby wangu tusamehane yaliyopita si ndwele tugange yajayo. ..hahaaa wanawake bwana wana lugha TAMU saivi hanipati hata kwa Limbwata
Kwahiyo sa ivi unamcheka?
 
Tatizo ww mtoa mada (nicholaus) hukuona redflags alizokua anakuonesha huyo demu tangu mlipoanza mahusiano, kwa uzoefu wangu red flags ambazo demu asiekupenda hukuonesha tangu mwanzo ni:-

1) Kukuomba pesa/kukulilia shida few days baada ya ww kumtongoza wakati bado haujala papuchi yake
2) Hakupi papuchi yake kirahisi, hata akija kukupa atakupa kwa shida sana..au baada ya ww ku-hustle mda mrefu sana..na kutoa pesa nyingi, na ukicheza cheza pesa utatoa na papuchi hutoipata milele.
3)Baada ya ww kumtongoza, Kila mda anadai yupo busy, ku-hang out na ww in private au in public hataki, she's not excited to be around u. Naomba mzigua na Evelyn salt na shunie mnirekebishe kama kuna mahali nimekosea, au kama kuna pa kuongeza muongeze
4) Mnapochat kwenye text anakuchukulia poa..sana, lyk hakutafuti mpaka ww umtafute, anakutumia text fupi, unachouliza ndo unachojibiwa

nicholaus mbwambo Mzigua90 Evelyn Salt Shunie
 
Sawasawa chief

Ila saivi nipo mwenyewe na mishe zangu tuu full harakati wala sitaki kumjua
 
Yani saivi unaenda mwezi wa nne kila siku ananitafuta kuomba msamaha ohoo turudiane wangu yale yamepita
 
you're very right
Tatizo ww mtoa mada (nicholaus) hukuona redflags alizokua anakuonesha huyo demu tangu mlipoanza mahusiano, kwa uzoefu wangu red flags ambazo demu asiekupenda hukuonesha tangu mwanzo ni:-

1) Kukuomba pesa/kukulilia shida few days baada ya ww kumtongoza wakati bado haujala papuchi yake
2) Hakupi papuchi yake kirahisi, hata akija kukupa atakupa kwa shida sana..au baada ya ww ku-hustle mda mrefu sana..na kutoa pesa nyingi, na ukicheza cheza pesa utatoa na papuchi hutoipata milele.
3)Baada ya ww kumtongoza, Kila mda anadai yupo busy, ku-hang out na ww in private au in public hataki, she's not excited to be around u. Naomba mzigua na Evelyn salt na shunie mnirekebishe kama kuna mahali nimekosea, au kama kuna pa kuongeza muongeze
4) Mnapochat kwenye text anakuchukulia poa..sana, lyk hakutafuti mpaka ww umtafute, anakutumia text fupi, unachouliza ndo unachojibiwa

nicholaus mbwambo Mzigua90 Evelyn Salt Shunie
 
ukimuacha yeye utabakisha damu yako kumbuka. ukimjaza mimba wakati anakuchosha utachoka zaidi akitaka matunzo ya mtoto. usitumie hasira ukapata hasara baadae. mkaushie
Sasa huyu demu kadri siku anavyozidi kuniomba msamaha ndivyo anazidi kunipa hasira

Nyakati zingine huwa natamani

Nicheze na akili yake nimjaze mimba then nimuache
 
ukimuacha yeye utabakisha damu yako kumbuka. ukimjaza mimba wakati anakuchosha utachoka zaidi akitaka matunzo ya mtoto. usitumie hasira ukapata hasara baadae. mkaushie
Lazima nimfanyie roho mbaya kisasi cha hali ya juu ili aone maumivu ya kusaliti
 
mkuu kubali mrudiane kisha tafuna alaf muache kiroho safi..wacha ubongo ufanye kazi yake mambo mengine ukiachia moyo utakuwa zwazwaa..
 
na ukimsamehe unastahili kupigwa mawe hadi kufa...

Chamsingi mimi nahisi atakuroga hivyo naingia kwemye maombi kukuombea
 
Back
Top Bottom