bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,262
Jamaa yangu alinikera sana, iko hivi mshikaji alikua amejipata pata kifedha si mbaya.
Kuna single maza akawa ana mganda jamaa ampe fedha kusaidiana tu, Na huyo singo maza alikua na jamaa ambae anamhudumia vizuri tu. Jamaa mtu mzima kidogo.
Huyu singo maza akawa anaokota tena kwa mshikaji wangu, halafu wanaitana dada na kaka. Jamaa kapitia hapohapo kaanza kula yule mdada mmama yani single maza.
Mtoto wa yule singo maza alikua chuo diploma sikumbuki kozi gani nae akawa ana mganda jamaa ampe pesa za kutumia.
Jamaa anatoa, Mi nikajua majukumu ya baba ohooo kumbe jamaa kaanza tena kumkunja yule binti. Jamaa anajichapia tu, sijafurahishwa na hili jambo msifanye hivo ndugu zangu si uungwana
Kwishaaaaaaaa