Nikikumbuka naumia sana

Nikikumbuka naumia sana

Akikutafuta mfungie vioo mkuu. Cha msingi mkule kwanza maana kumpotezea bila kumkula wakati ulishamgharamia sana bado utakuwa umeidhulumu nafsi yako

Pamoja na kumjali kote, amekuona wewe ndio wa kutumia vitu used
Na akimkula anamtegeshea nimba
 
Wanawake wengi wajinga sana.
Dawa usirudishe moyo nyuma,mwambie nina mpenzj wangu mwingine kwa sasa na tunapendana sana.
Wee jamaa na wewe sijui ndio udomo zege. Yaani upo nae muda wote umeshindwa kula mzigo na baada ya kutoswa nako bado upo tu unang'aa sharubu. Ndio maana watoto wa kike wanakuchezea sana.
Huyu jamaa sijui alikuwa anatumia formula gani kwenye mahusiano
 
Ntaleaje mtoto wakati baba yake yupo anadundika kitaani kabisa
Kama huwez kulea mtoto ina maana hata yeye hutaweza kukaa nae,cha msingi endelea na maisha yako achana nae utapata ugonjwa wa moyo bure, haya mambo yanataka mtu ambae ameshapitia mengi kuhusu wanawake ndo ataweza na awe jasiri
 
Saivi zamu yake kulia mkuu
 
Back
Top Bottom