Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Anataka kurudi sio kwakuwa anakupenda ... anataka kurudi ili aje akuchune tena zoba wake...Wakati saivi yupo wakati mgumu sana yani kaachwa na mtoto wa miezi mitatu halafu hana kazi ambayo inampa hata buku kwa siku baba hana yupo yupo tuu ndio mana anarudi kutaka huruma kwangu
Sijawahi kuona mpare mzembe kama wewe. Ngoja nikuitie kaka yako Mshana Jr aje akufanyie counselling...