nicholaus mbwambo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 287
- 233
- Thread starter
- #181
Napata sema uvumilivu mkuuSasa unaishije bila mwanamke?? Hupati mihemko?
Napata sema uvumilivu mkuuSasa unaishije bila mwanamke?? Hupati mihemko?
kutumiwa hivo kawaida sio ishu...sasa mwanzo kwani hakuona kwamba huna makuu....huwa hawasomeki...yani huyok kwake unakuwa sasa rough na unamwambia huwezi kuwa naye peke yake au humwambii yani unakuwa bandidu tu...saka mwingine...ila hawa ukiwa mstaarabu sana wanakuona boya watakuacha..ili ukae naye lazima afume ma sms mara amekuta darling mara mpenzi ..yani aone tu sms au akuone na chombo..ukiwa namwanamke akaexperience ndio atakaa na atakupenda zaidi....hawataki innocenttrust me..nilikuwaga so inocne sehemu tena najali yani kilichotokea....sasa nkaona niwe tu vurugu sa hv ninao wengi sana..sijisifii ila life is full of shiiAnanitumia sms za kusema wewe mme mwema umetulia Hauna makuu ila simjibu sms zake
Mkuu nikisoma hii koment nacheka sana tena saanaktk vitu nilivyoshindwa ni kufukuzia nyuchi kama naomba pepo.
Sawasawa chief pamoja sanaa aisekutumiwa hivo kawaida sio ishu...sasa mwanzo kwani hakuona kwamba huna makuu....huwa hawasomeki...yani huyok kwake unakuwa sasa rough na unamwambia huwezi kuwa naye peke yake au humwambii yani unakuwa bandidu tu...saka mwingine...ila hawa ukiwa mstaarabu sana wanakuona boya watakuacha..ili ukae naye lazima afume ma sms mara amekuta darling mara mpenzi ..yani aone tu sms au akuone na chombo..ukiwa namwanamke akaexperience ndio atakaa na atakupenda zaidi....hawataki innocenttrust me..nilikuwaga so inocne sehemu tena najali yani kilichotokea....sasa nkaona niwe tu vurugu sa hv ninao wengi sana..sijisifii ila life is full of shii
Una maana gani chiefPole yake alitema bigiji duh!yan hyo itamsumbua maisha yake yote hatokaa apate aman
Wana JF nyie mnaukubari ushauri huu??mtoa mada usiufuate!!!!Akikutafuta mfungie vioo mkuu. Cha msingi mkule kwanza maana kumpotezea bila kumkula wakati ulishamgharamia sana bado utakuwa umeidhulumu nafsi yako
Pamoja na kumjali kote, amekuona wewe ndio wa kutumia vitu used
Kimbiaaa.Atakuja Na Gia mpyaaaa.Mpotezeee kakuchezeaaa sana.Hana akili sana huyo.Hawa ndo wanasababisha Wanaume watuchukie.Wkt tupo wanawake tunaojielewaaaa.Kimbiaaaaa kimbiaaaaaa.Tena mwambie naoa mwezi ujao.Tafuta hata picha ya Binti mrembo mtumie.Akome.Binti mwenye Chura.Mrembo Kumzidi.Pumbafuuuuu!Sasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninase
Sawasawa chief pamoja sanaa aiseKimbiaaa.Atakuja Na Gia mpyaaaa.Mpotezeee kakuchezeaaa sana.Hana akili sana huyo.Hawa ndo wanasababisha Wanaume watuchukie.Wkt tupo wanawake tunaojielewaaaa.Kimbiaaaaa kimbiaaaaaa.Tena mwambie naoa mwezi ujao.Tafuta hata picha ya Binti mrembo mtumie.Akome.Binti mwenye Chura.Mrembo Kumzidi.Pumbafuuuuu!
Asipoelewa hii atapaswa kucharazwa na mkia wa FaruNigga you were right to look after her but you still love her na ndiyo maana umekuja kuanzisha uzi ili upate approval ya kurudiana naye.
Fanya moyo wako unavyopenda.
Sanaa aisee saivi hapati kitu hadi salamu hapatiUlisahau kuwa mchumba asomeshwi?? Pole sana mpwa,acha nanaye hizo pesa ulizo gawa sahv ungekuwa na vijumba vyako viwili hiv
Ulicnganya huruma na mapenzi haviingiliani,unapoamua kumsaidia mwanamke lazima vigezo na masharti vizingatiwe.Akitaka kula lazima aliweHabari wana MMU,,,?
moja kwa moja niende kwenye mada kuwa miaka michache huko nyuma nilikua na mahusiano na binti mmoja hivi ..
Kipindi Naanza chuo mana nilivyomaliza form six sikuunga chuo nilikua home nafanya shughuli zangu za Kimaisha ( michakato ya kiuchumi)
Sasa mwaka ambao ndio naanza first year kuna binti alikua yupo second year ila umri mdogo kuliko hata mimi tulianzia urafiki mwishoe nili approach akakubali ...
Yule Dada home kwao bwana kumbe hali ya kiuchumi haikua fresh kabisa na wakati huo alishatelelezwa na mama yake alikua anaishi na baba yake ( R.I.P) mwaka huo huo ambao tulikua tumeanza mahusiano. .
Kiujumla nilikua nampa sapoti kwa namna moja au nyingine kiuchumi hapo chuo na hata baadhi ya gharama za chuo nilikua nampa support mana mda mwingi sana alikua ananiomba nimpe support. .
Tulidumu almost ndani ya miaka miwili ila Sikuwahi hata kula mzigo wakati huo aisee Dini ilikua nimeishika sana na nilikua Sikuwahi kujiingiza masuala ya sex yule binti niliwahi kumuomba kama mara mbili hivi aligoma na kusema dhambi mpaka ndoa....
Kumbe dada wa watu saivi mama nanii huko uliko arusha Mungu akupe neema kwa magumu unayopitia. .
Binti wa watu alikua Bikra na pia aliweka promise na mtu wa huko kwao kuwa watakuja kuoana licha ya jamaa alishindwa uvumilivu aliamua kuzaa na mwanamke mwingine. .
Binti alijaribu kuniweka karibu sana na Kunifanya kuwa mtu wake wa karibu sana na kunipa faraja kanisani tulikua tunaenda wote kusoma wote ila yeye course nyingine...
Ilikua kila Nikimwambia kuhusu suala la kuja kuoana alikua anatoa vikwazo kuwa wanaume sio waaminifu kabisa na alikua analia kabisa kuwa hapendi kusikia suala hilo. .
Kumbe mwenzangu alikua anakumbuka jinsi gani mtu ambaye amewekeana promise naye ya kuja kuoana kuvunja kwa maana kuzaa na mke mwingine. ..
Mwaka wa tatu yule jamaa wa home kwao alikua anaomba msamaha kwa chini chini sana ila mwanamke bado alikua hajaridhika. .
Mimi nilikua sijui yalikua ya siri sana
Basi mimi Nilijitahidi Kadri ya uwezo wangu kujitoa kwake...
Hadi alipomaliza chuo ndani ya miezi sita ya mwanzo kila baada ya siku tatu au tano elfu 30 ,40 , 50 Niliweza kumpatia ili kuweka mambo sawa home mana wadogo zake mmoja alianza form one mwingine la sita ..alikua hana kazi wala alikua hajapata internship yupo tuu vijijini na bibi yake ..
Basi Kumbe wakati yupo mtaani jamaa ndio alikua anatumia nguvu kubwa sana kumshawishi yule mwanamke kuwa amsamehe na waanze upya jamaa Alitumia Njia anazojua mwisho wa siku kapata mke wake. .
Kwa upande wangu binti aliniambia kuwa wacha aanze maisha yake Binafsi mana anataka kuwa huru niliumia sana rafiki yake na yule binti aliniambia yote kuwa Mwenzako ameuridiana na mtu wake...
Basi nilipiga moyo konde japo Niliumia Sana aisee...
After one year a head yule binti alianza Kunitafuta na kutaka urafiki wetu urudi kama awali wakati huo kumbe yule jamaa mke ambaye amezaa naye aiseee sekeseke kubwa sana huko ..
Binti alishindwa matala mana jamaa alianza kuweka zamu ya kulala kwa wanawake zake kitendo hicho kilimkasilisha sana yule binti..
Rafiki yake alinipa habari zake na kuwa Kilichosababisha haya yote yule binti alikua anampenda sana jamaa alijua jamaa atabadilika kumbe la hasha...
Akajikuta anaanza kukumbuka upendo wangu na kuanza kuomba urafiki urudi na kuniambia tu kuwa kwa kipindi ambacho hatukuwa na mawasiliano alibahatika kupata mtoto mmoja...
Mimi sikumjibu chochote kile nipo zangu cool tuu mpaka leo miezi mitatu anaomba urafiki urudi nipo zangu najishughulisha na mishe zangu tuu mana chuo Nimesha Maliza. .
Kila nikikumbuka hii naumia sana nilikua mtu wa Aina gani kipindi hicho...
Sawasawa chiefUlicnganya huruma na mapenzi haviingiliani,unapoamua kumsaidia mwanamke lazima vigezo na masharti vizingatiwe.Akitaka kula lazima aliwe
Haaaahaaaa....nimecheka sana daah!Madem huwa wanakatabia flani common sana. Na hiki si kingine zaidi kama uliwah kuwafuma au walikuacha kwa nyodo.. aakirud huwa wanakuja kwa speed kubwa sana.
Na huwa wanatest kama unaingilika, si kwamba wanakupenda au wametambua makosa yao, hapana. Ila wanatafuta pa kutuliza nafsi zaoo...
Wakiona mdhaif watakuchezea sana. Wakiona mgumu huw hata hawaangaiki
Mme mwema wakati hajawahi kukupa k?Ananitumia sms za kusema wewe mme mwema umetulia Hauna makuu ila simjibu sms zake