nicholaus mbwambo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 287
- 233
- Thread starter
- #121
Ok...let me do itSitaki kukumbuka tafuta nyuzi zangu ... Humu ... Memba wenzangu walnsaidia ni rudi kwenye mstar wengne walntafta had pm ...jf ... Naipenda sana
Ok...let me do itSitaki kukumbuka tafuta nyuzi zangu ... Humu ... Memba wenzangu walnsaidia ni rudi kwenye mstar wengne walntafta had pm ...jf ... Naipenda sana
Nimeona mkuu aisee pole sana kama mimi mkuu ila wewe ukezidiSitaki kukumbuka tafuta nyuzi zangu ... Humu ... Memba wenzangu walnsaidia ni rudi kwenye mstar wengne walntafta had pm ...jf ... Naipenda sana
Ahaahaa ... Nipo fresh mkuu now .... Aaaha nlkuaga sio mzoef ...Nimeona mkuu aisee pole sana kama mimi mkuu ila wewe ukezidi
Hata mimi nilikua sio mzoefu kipindi hichoAhaahaa ... Nipo fresh mkuu now .... Aaaha nlkuaga sio mzoef ...
Jiajiri hata kuuza mavi ya pakaNisaidie .mkuu sina ajira
Hahahaaaa dahJiajiri hata kuuza mavi ya paka
Huyu si bure kuna kitu kinaendeleaHahahaaaa dah
Rafk yangu sana huyoHuyu si bure kuna kitu kinaendelea
Tunaelewana ....Huyu si bure kuna kitu kinaendelea
Daah....we jamaa huna uelewa na masuala ya Mahusiano nini...Daaah???Sasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninase
Funguka mkuu unachojuaDaah....we jamaa huna uelewa na masuala ya Mahusiano nini...Daaah???
Sawasawa chiefTunaelewana ....
Asante sanaa aise ila nini ushauri wakoPoyeee
Nakushangaa pamoja na kuhudumia note kule Bikra kaila mwingine tena na Mimba juu....Leo akaona arudi kwa Bwege wake wa zamani na wewe etii unampa hadi nafasi ya kumfikiria na hata zaidi unamfungulia Uzi humu....Hii inaonesha ni Jinsi gani anavyokuona kua wewe huna maisha mengine pasipo yeye....Nikushauri tuu kua nae ila Mimba ya pili atampa tena jamaa yakeee.....DamnFunguka mkuu unachojua