Nikikumbuka naumia sana

Nikikumbuka naumia sana

Wanawake wengi wajinga sana.
Dawa usirudishe moyo nyuma,mwambie nina mpenzj wangu mwingine kwa sasa na tunapendana sana.
Wee jamaa na wewe sijui ndio udomo zege. Yaani upo nae muda wote umeshindwa kula mzigo na baada ya kutoswa nako bado upo tu unang'aa sharubu. Ndio maana watoto wa kike wanakuchezea sana.
 
Akikutafuta mfungie vioo mkuu. Cha msingi mkule kwanza maana kumpotezea bila kumkula wakati ulishamgharamia sana bado utakuwa umeidhulumu nafsi yako

Pamoja na kumjali kote, amekuona wewe ndio wa kutumia vitu used
Sasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninase
 
Duh ...... Hivi condom huwa tumia wachache sana, Mkuu mimba itatoka wapi kama unatumia zana?

Halafu wewe unapita naye tu kupoza machungu aliyokupa baada ya hapo kila mtu anaenda na hamsini zake

Hii iwe zamu yake yeye kujiona fala

Kimsingi, tafuta mtu mwingine permanent (kama bado huna)
 
Vizuri mana naogopa kunogewa tukajikuta tumerudi kama awali mwishowe ndoa
 
Wanawake wengi wajinga sana.
Dawa usirudishe moyo nyuma,mwambie nina mpenzj wangu mwingine kwa sasa na tunapendana sana.
Wee jamaa na wewe sijui ndio udomo zege. Yaani upo nae muda wote umeshindwa kula mzigo na baada ya kutoswa nako bado upo tu unang'aa sharubu. Ndio maana watoto wa kike wanakuchezea sana.
jamaa anashangaza sana atakuwa ni mwanaume wa Dar cyo bure. Mm demu hawezi Kula hata elfu hamsini yangu bila kumfumua aisee
 
Back
Top Bottom