Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,218
Hasira hizo 😂😂Unaona raha kuwa Kaka wa kucheka cheka...??
Na ww si umtafute wa kucheka naye
Hasira hizo 😂😂Unaona raha kuwa Kaka wa kucheka cheka...??
Wifi huyu jamaa nimempenda ana mapenzi mazito na huyo mwanamke, pamoja na changamoto ya uzazi lakini bado anakomaa naye ila ana kauoga flani..!!Kumekucha😂😂
Km ww na yule mpz wako aliyekupiga na kitu kizito 🤣🤣🤣🤣Sometimes jf ni kituo cha kupunguzia stress, 🤣
Umalaya uliokithiri, kutoa mimba, kunywa p2, magonjwa ya zinaa na ulevi...Hili tatizo la uzazi sijui kuna nini kwa mabinti
Ww mm sio kama huyo, mm naelimisha watu! Angalia reaction ya nyuzi zangu.🤣Km ww na yule mpz wako aliyekupiga na kitu kizito 🤣🤣🤣🤣
Lina sumbua sana.Hili tatizo la uzazi sijui kuna nini kwa mabinti
AiseeLina sumbua sana.
Hamna tofauti wote mnapelekeshwa na mapenzi 😂Ww mm sio kama huyo, mm naelimisha watu! Angalia reaction ya nyuzi zangu.🤣
Nishavuka hizo stage, nipo level zingine kabisa🤣Hamna tofauti wote mnapelekeshwa na mapenzi 😂
Athari ya kubwia P2 kama njugu na kutoa vibendi utotoni.Hili tatizo la uzazi sijui kuna nini kwa mabinti
Baada ya kukupiga spana uache ujinga wa kulilia mapenzi 🤣🤣🤣Nishavuka hizo stage, nipo level zingine kabisa🤣
Kumbe? Maana imekuwa ni shida sanaAthari ya kubwia P2 kama njugu na kutoa vibendi utotoni.
Toka, spana gani?🤣🤣 mm sina jeuri kama wewe!Baada ya kukupiga spana uache ujinga wa kulilia mapenzi 🤣🤣🤣
Hapo sawa ushakuwa sasa tunaweza kuongea lugha moja
Hakuna URAFIKI wa mwanaume na mwanamke wa kutoana "OUT". Sema ni suala la right time right place...Niliwahi kuwa na mpenzi mmoja, kwa maelezo yake akawa anasema ana shida ya uzazi hawezi kushika mimba, basi nikawa natoka nae cha ajabu kuna siku anakwambia yuko siku za hatari so tusifanye.
Basi akawa anasema anatamani sana mtoto na akawa ananiambia kama sijali kuhusu shida yake nimuoe nimtibie tuzae, nilikuwa site kwa miezi kama 7 mkoa huo akawa anataka nikiondoka nisepe nae.
Basi bwana nikafatilia hospital ikaonekana shida yake ni kubwa sana na itachukua muda kuwa tayari kuzaa, hapo alikuwa na 28yrs. Watu fulani wakanielekeza kwa mtaalamu wa tiba asili na wakasema anaijua dawa na alishasaidia case kama hiyo. Issue ikawa kupata mawasiliano yake.
Wakati tunamtafuta mie mda wangu ukaisha ikabidi nisepe, ajabu baada ya kama wiki 3 yule dada akanipigia anasema ana mimba. Akataka aje kwangu nikakmwambia subiri nije kwenu tumalize utaratibu nikuoe kabisa, yeye akawa hataki niende kwao anataka aje kwangu kwanza.
Mimi nikaona jau kukaa na mtoto wa mtu bila u rasmi nikamwambia asubiri ntamjuza aje lini. Yule dada akanikatia mawasiliano kila nikimtafuta simpati. Kaja kunipigia 2 yrs later anasema amenimiss, nikamwambia its okey, utakuja na mtoto? Akauliza mtoto gani, nikamwambia si ulizaa, akajibu we unajifanya hujui tatizo langu, ningezaaje sasa na wewe ndio ulikuwa unanitafutia tiba ukaondoka kabla hatujampata muhusika.
Sikutaka kumkumbusha kuhusu aliponiambia ana mimba anataka aje kuishi kwangu, lakini nimeona nimuache tu.
Kwa sasa nipo naye kama rafiki na sija do nae, Weekend nilimtoa out nikamkumbusha matukio yake basi kachekaaaa, mi mwenyewe kila akipiga simu nacheeeekaaaaa.
KIUKWELI NIKIKUMBUKA NACHEKA SANA.
Anza kuwa jeuri kwenye mapenzi dogo utaenjoy sana, hakuna kima atakutisha wala kukuyumbisha..!! 😂Toka, spana gani?🤣🤣 mm sina jeuri kama wewe!