mchorazombie
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 114
Napenda kuongeza ,
Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?
Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
Majibu umepewa ya kutosha ila hujitambuiMkuu siyo swala la kuiga...Ni kwamba Nappe amewakurupua Lumumba team na kuwaambia kesho hakutakuwapo na mgao wa buku saba....Ile thread ya PISTO wamekosa majibu na Lumumba wote walikuwa wamejificha..
sasa pumba kama hizi nani atajibu ? Nimekubaliana na ule utafiti kwamba mbumbumbu wengi wanaiunga mkono ccm .
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Umelewa kiroba ww,hujaelewa nn?
Majibu gani mmetoa...Wakati mnarukaruka kama kuku anayetaka kutaga.....Majibu umepewa ya kutosha ila hujitambui
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Masikini ya Mungu kumbe upo kwenye ile asilimia 77% ya mambumbumbu iliyotajwa kwenye ule utafiti...Kwani wewe haujaona zawadi aliyopewa Dr. Slaa Marekani hiyo zawadi wamepewa watu wawili tu Dr. Slaa na Obama, teh teh teh!
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Umelewa kiroba ww,hujaelewa nn?
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Napenda kuongeza ,
Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?
Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
Hao ndiyo wapiga kura.Masikini ya Mungu kumbe upo kwenye ile asilimia 77% ya mambumbumbu iliyotajwa kwenye ule utafiti...
Napenda kuongeza ,
Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?
Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
mkuu umesahau na kung'oa kucha za dr ulimboka,na kung'oa jicho la kibanda,watuambie haya yote