the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,106
- 357
Mkuu naona chai sana wewe.Ahaa na je nikaweka mfuniko wa sufuria au sahani kubwa badala ya hilo li dishi lenyewe je nitaambulia choehote kitu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona chai sana wewe.Ahaa na je nikaweka mfuniko wa sufuria au sahani kubwa badala ya hilo li dishi lenyewe je nitaambulia choehote kitu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata signal ila nina uhakika wa kutumia mfuniko wa pipa na kuuponda kwa mfano wa dish na ukafanya kazi vizuri kabisa.Ahaa na je nikaweka mfuniko wa sufuria au sahani kubwa badala ya hilo li dishi lenyewe je nitaambulia choehote kitu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe kwa ajili yako ndogo unafikri huo ungo ni pambo tu? Halafu dish na ungo ni vitu viwili tofauti? Eti nataka kufunga dish!Yaani nataka kufunga dish langu kwa mfano la azam au statimes au zuku ila naweka ile l.n.b bila lile li sahani lake je nikiunganisha hivyo nikaenda kuwasha tv yangu itaonyesha picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...Kwa hiyo wewe kwa ajili yako ndogo unafikri huo ungo ni pambo tu? Halafu dish na ungo ni vitu viwili tofauti? Eti nataka kufunga dish!
Hapo sawa maana nikiangalia lile dish mkarai ulivyo hauna mahusiano yoyote pale na ile lnb ..Utapata signal ila nina uhakika wa kutumia mfuniko wa pipa na kuuponda kwa mfano wa dish na ukafanya kazi vizuri kabisa.
Kazi ya LNB siyo kukamata mawimbi Moja kwa Moja toka satellite zilizoko kwenye anga za juu,kazi yake ni kukusanya mawimbi ambayo yamebounce kwenye dish. kitendo chochote cha kujaribu kufungia LNB peke yake ni upotevu wa muda na ni failure ya 100%.
Je nikifunga hapo mfuniko wa sufuria ile kubwa?Kazi ya LNB siyo kukamata mawimbi Moja kwa Moja toka satellite zilizoko kwenye anga za juu,kazi yake ni kukusanya mawimbi ambayo yamebounce kwenye dish. kitendo chochote cha kujaribu kufungia LNB peke yake ni upotevu wa muda na ni failure ya 100%.
Wacha tuenjoy aisee jiwe alikuwa na roho ya kutu mno aliona sisi wenye DStv Kama tunakula maisha sana kwa kuwa bei ipo juu kumbe tunaumia tu.Hii nchi Uhuru umezidi Sana🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu kufanya utafiti mkuu funga hiyo L.N.D yako bila ungo kisha kawashe TV utapata jibu kisha tuletee mrejesho