Nikifunga dish bila ungo, TV itaonesha?

Nikifunga dish bila ungo, TV itaonesha?

Yaani nataka kufunga dish langu kwa mfano la azam au statimes au zuku ila naweka ile l.n.d bila lile li sahani lake je nikiunganisha hivyo nikaenda kuwasha tv yangu itaonyesha picha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa LNB - Low Noise Block. Hizi tunazotumia kwenye madish madogo ni KU band LNB.
INAWEZEKANA kabisa kufunga LNB bila dish na ukapata channels ila yafuatayo yatatokea.
1. Hautapata picha yenye quality nzuri.
2. Hautapata sauti
3. Utatumia muda mrefu pengine siku kadhaa mpaka uweze kupata mwelekeo sahihi wa satelite.
4. Hali ya hewa ikibadilika kidogo tu basi na wewe utapoteza picha.
Kazi ya lnb ni kudaka mawimbi toka kwenye satelite na kuyafikisha kwenye king'amuzi chako.
Kazi ya dish ni kureflect na kukusanya mawimbi hayo toka kwenye satelite na kuyapa nguvu kwa kuyaelekeza kwenye lnb yako.

Kwa hiyo unaweza kabisa kutumia lnb bila dish na ukapata picha ila HD zitakuwa kwa mfano wa picha za TBC.
 
Inaitwa LNB - Low Noise Block. Hizi tunazotumia kwenye madish madogo ni KU band LNB.
INAWEZEKANA kabisa kufunga LNB bila dish na ukapata channels ila yafuatayo yatatokea.
1. Hautapata picha yenye quality nzuri.
2. Hautapata sauti
3. Utatumia muda mrefu pengine siku kadhaa mpaka uweze kupata mwelekeo sahihi wa satelite.
4. Hali ya hewa ikibadilika kidogo tu basi na wewe utapoteza picha.

Kwa hiyo unaweza kabisa kutumia lnb bila dish na ukapata picha ila HD zitakuwa kwa mfano wa picha za TBC.
Huwezi kupata bila dish, maana ndiyo linalokusanya hayo mawimbi. Mbona maelezo yako wazi kabisa.
 
Kwenye frame zake kama inavyokaaga

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo frame unadesign za kwako au utazitoa wapi bila ya kuwa na dish…!?

Btw dish siyo urembo lile, kazi yake ni kupokea microwave signal na kuzibadili kuwa electric signal, na hili jambo hufanyika baada ya hizo signal kupokelewa na LNB ambapo hii LNB inazipokea hizi signal kutoka kwenye sattelite na kisha kuzifanyia amplification.
Vile vile unafaa utambue hayo madish yanakuwa na vipimo tofauti tofauti kulingana na ukubwa wa signals ambazo zinapokelewa kwa kuzingatia ukubwa wa frequency!
Lakini pia ujue dish linavyowekwa huwa linaelekezwa katika uelekeo maalum kwa kuzingatia eneo n.k!
Sasa bila dish lazima ujiulize hizo signal ambazo ni microwave zitapokelewaje na kubadilshwa na nini kuwa electric signal!
 
Frame namaanisha zile zile za dish lenyewe yaani nafunga hadi lnb lakini lile li sahani siliweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa LNB - Low Noise Block. Hizi tunazotumia kwenye madish madogo ni KU band LNB.
INAWEZEKANA kabisa kufunga LNB bila dish na ukapata channels ila yafuatayo yatatokea.
1. Hautapata picha yenye quality nzuri.
2. Hautapata sauti
3. Utatumia muda mrefu pengine siku kadhaa mpaka uweze kupata mwelekeo sahihi wa satelite.
4. Hali ya hewa ikibadilika kidogo tu basi na wewe utapoteza picha.

Kwa hiyo unaweza kabisa kutumia lnb bila dish na ukapata picha ila HD zitakuwa kwa mfano wa picha za TBC.
Ahaa na je nikaweka mfuniko wa sufuria au sahani kubwa badala ya hilo li dishi lenyewe je nitaambulia choehote kitu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom