Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush
Unapoteza muda huyu anakuwa amelewa angalia: Hataki denda na mimi sababu ya pombe
 
Mmh kama nikweli pole sana.hicho haja kubwa inayotoka umesema nikama kinyesi cha mbuzi labda nikuulize vipi kuhusu haja kubwa yakawaida wakati hauko kwenye tendo na yenyewe iko kama hiyo!
 
Pole sana mkuu,ni inmani yangu kua ukisoma comments zote za wadau wanaochangia na waliochangia,hakika utapata msaada wenye manufaa.


Nakusihi unapotafuta ufumbuzi usifanye mapenzi hovyo kwani utajishushia heshima.

Duuh! hapo ndio naanza kuelewa kwanini wanandoa wakiachana husema 'nitunzie siri zangu'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona tatizo dogo mkuu [emoji849]mmmh nenda hospital bana!
 
Ina maana hupajui hospital? ur not serious at all.. Aisee usipoangalia utaendelea kujinyea mkuu
 
Duuu, Dunia ina mambo, pole sana mpendwa Mungu akuponye katika jina la Yesu, usisahau kwenda hospital maana alisema Ishike sana elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush
Miss chaga natamani kuonana na wewe yaani live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom