Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

jean phillipe beyun

Senior Member
Joined
May 18, 2015
Posts
142
Reaction score
167
Habari, nawasalimu,

Barua yangu ni fupi tu kwenu,

Nimekua rafiki yenu hapa kwa Muda sasa, na nimeandika hapa mara kadhaa kwa mambo mbali mbali, hata hivyo tatizo hili sijawahi kulisema kwa aibu, sasa nimeona kama vile linaendelea nimeona niliseme ili nipate msaada.

Ni kwamba, nikiwa na mwanamke kitandani, wakati nafikia mshindo lazima vipingili vya haja kubwa vitoke kama mavi ya mbuzi yanavyokua na kila bao inakua hivyo, siku za nyuma wasichana wengi niliokua nao hawakufahamu hili, nilikua nikijificha ficha sana, na mara nyingi mimi hupendelea kufanya usiku, ila wapo walioniona na kunikimbia.

Shida inakuja kwa sasa ninaishi na mwanamke kupika na kupakua ingawa hatujafunga ndoa, kwa Muda tuliokaa nae ameshaligundua tatizo hili na linamkera sana, na hali sasa si nzuri, nashindwa kumuelewa huyu mwanamke sababu mwanzo tulipoanza mahusiano alidai hawezi kuendelea na mimi kama nisipotahiriwa, tutagombana sana, nikalazimika kukiuka mila nikatahiriwa, hili tatizo lingine tangu mwanzo analijua pia na tulikubaliana tutasaidiana kupata ufumbuzi, cha ajabu sasa hivi amebadilika kabisa, kwamba ni kero kubwa kwake, na kwamba nisipotafuta ufumbuzi eti nisimlaumu

Wadau huyu mtu ananipenda kweli? Au anatafuta sababu ya kunikimbia? Tatizo dogo tu hivi linaweza kufanya mtu anaekupenda akakukimbia?

Na je kuna mwingine humu amewahi kupata shida kama hii yangu?

Maana huwa ninachukua Muda mrefu sana kumaliza mshindo mmoja na nikifika mwisho lazima haja itoke kidogo.

Kuna anaejua dawa ya tatizo hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, nawasalimu

Barua yangu ni fupi tu kwenu,

Nimekua rafiki yenu hapa kwa Muda sasa, na nimeandika hapa mara kadhaa kwa mambo mbali mbali, hata hivyo tatizo hili sijawahi kulisema kwa aibu, sasa nimeona kama vile linaendelea nimeona niliseme ili nipate msaada


Ni kwamba, nikiwa na mwanamke kitandani, wakati nafikia mshindo lazima vipingili vya haja kubwa vitoke kama mavi ya mbuzi yanavyokua, na kila bao inakua hivyo, siku za nyuma wasichana wengi niliokua nao hawakufahamu hili, nilikua nikijificha ficha sana, na mara nyingi mm hupendelea kufanya usiku, ila wapo walioniona na kunikimbia


Shida inakuja kwa sasa ninaishi na mwanamke kupika na kupakua Ingawa hatujafunga ndoa, kwa Muda tuliokaa nae ameshaligundua tatizo hili na linamkera sana, na hali sasa si nzuri, nashindwa kumuelewa huyu mwanamke sababu mwanzo tulipoanza mahusiano alidai hawezi kuendelea na mimi kama nisipotahiriwa, tutagombana sana, nikalazimika kukiuka mila nikatahiriwa, hili tatizo lingine tangu mwanzo analijua pia na Tulikubaliana tutasaidiana kupata ufumbuzi, cha ajabu sasa hivi amebadilika kabisa, kwamba ni kero kubwa kwake, na kwamba nisipotafuta ufumbuzi eti nisimlaumu

Wadau huyu mtu ananipenda kweli? Au anatafuta sababu ya kunikimbia? Tatizo dogo tu hivi linaweza kufanya mtu anaekupenda akakukimbia?

Na Je Kuna mwingine humu amewahi kupata shida kama hii yangu?


Maana huwa ninachukua Muda mrefu sana kumaliza mshindo mmoja na nikifika mwisho lazima haja itoke kidogo

Kuna anaejua dawa ya tatizo hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
nahisi kuna kitu unatuficha huko nyuma hujawahi kua abused kweli???
hata kama ww ni mlevi hadi una blackout jua kuna jambo watu walikufanyia

pili kama hujawahi jarbu kufanya a lot of exercise hii nahisi itakusaidia kucontroll muscles zako



Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush
 
pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush
kamfanyie zoezi
 
suluhisho hapo usisubiri mpaka ufike mwisho, ishia njiani.

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
 
Ulishawai kupiga punyeto?? Jaribu tenaa ukiwa umesimama usilale kitandani afu leta mrejesho ...
In fact every action there is equal and opposite reaction

sent from my iPhone 6
 
Back
Top Bottom