Nikaribisheni jamani

Karibu sana RS, jisikie uko nyumbani kabisa. Vipi umeuona mwezi lakini? Kuna uji wa pilipili manga na kalimati na bajia kwenye fridge hapo nyuma yako. Chagua upendacho ili ujichane. Utapaweza tu mradi tu usiufagilie uzembe mkubwa wa chama tawala na Serikali yake katika kuleta maendeleo ya nchi yetu.
 
Karib sana , naitwa klorokwini, nikiondoa hela zangu zote benki ya CRDB basi benki itayumba vibaya sana.

jiskie upo Paris:
karib sana.
 
Nami nijiunge na wadau kukukaribisha bi radhia. Karibu sana. Hapa utapaweza tu, natumai nawe umehama kule kwa facebook kama mimi baada ya kujua huku ndio kwenyewe
 
Aise radhia mtamu karibu sana, usipofuata kanuni za humu utashangaa unakuwa Radhia biter
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom