Nikaribisheni dar wana jf

Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.
Jinsia yako tafadhali?

hapa kuna Nduka na Nduka original....kimbembe

Huko charambe hivi ni sehemu ya dar kweli?

Namwona NOT ENOUGH anachungulia, kama yupo nadhani atakukaribisha tu

Charambe ni wilaya mpya ya Mbagala. Mkuu wetu wa wilaya ni T. Hiza! Karibsana Mkuu.

Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.

Unatokea mkoa gani mkuu? ili tukukarimu kwa kuzingatia utokako.

Mimi ntakua dar mwezi ujao,...ntaaanzia Mikocheni B,.....Masaki,...Mbezi beach,...niamabie mm mtu wa aina gani[/QUOTE

huko kuna sehemu ya ile kazi yako

IPO,...SEMA IPO SEHEMU MOJA TU,...UKISHUKA KITUO KWA WARIOBA(MIKOCHENI B),...UTANIKUTA NABRASH HAPO MAENEO,..HATA MAMA RITHA MLAKI NAMNG'ARISHA SOMETIMES,...KARIBU SANA BLACK WOMAN

Charambe + Kitunda + Mwananyamala kwa kopa!
Ni rahisi sana kukufahamu wewe ni mtu wa aina gani! Karibu lakini

Ni heri mimi ninaekuja huko uwsahilini kwa shughuli zangu kuliko wewe unaekaa Ostarbay kwa dada yako. Siku shemeji yako akilewa akianza kupiga nyapu yake unalalamika. MODS naomba msinipige BAN huyu kijana kanianza mwenyewe.

wewe nenda keko,tandika,manzese and the like,....asikufundishe mtu eti uishi wapi?.....wengine tunaridhika na maisha ya uswazi kuliko huko mnakofungiana kama kuku wa kisasa kwenye mageti yenu

Back
Top Bottom