Wanajua wenyewe-Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo.
Je hii inaashiria nini?
Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire?
-Je malipo hamna?
-Project imeisha?
Hata baada ya uchaguzi bado walikuwa wakiendelea, japo sio kwa rate ya mwanzoniUchaguzi umeisha malengo yametimia. Ukamatwe wa nini?