Niitumie?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niitumie??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kaeso, Jul 5, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Heshima yenu wana Chit Chat, jana jioni nimetumiwa pesa kwa M-Pesa na mtu nisiyemjua na jina limeonyesha ni la kike. Nilipoipiga namba hiyo haikupatikana mpaka sasa haipatikani.
  Hapa nilipo nimeuawa vibaya mno na shilingi 200,000/- zimejileta bila jasho. Wakuu niitumie hii pesa na madhara ni yepi endapo sintaitumia au nikiitumia.
   
 2. salito

  salito JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,366
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  nakushauri uendelee kumtafuta kabla hujaila..maan anaweza juwa ni hohe hahe aliekuwa anatuma hela kwa mkewe za matibabu..sasa kwakuwa hata umeme hana kasim nako kamezima chaji..jitahidi kusubiri mkuu na kumtafuta kwani utabarikiwa.na kama ni mtego wa shetani utakuepuka..
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo umetufunga kamba, ME NINAVYOJUA KUWA KAMA UKITUMIWA PESA KWA MPESA AMA TIGO PESA jina ndo lina-appear na sio namba!!!!!!!!!!!! sasa cjui wewe uliiipataje hiyo namba..............:wacko:
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Zirudishe voda,pesa ya dhuluma ni mbaya sana,na kama alivyosema mdau hapo juu ukute ni hela ya tiba au karo ya shule.
   
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Umeipataje namba
   
 6. k

  kaeso JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeuliza customer care umesikia charminglady??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mmmmmh unatuuzia chai wewe.....
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Warudishie voda nawe utapata rehema
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,195
  Trophy Points: 280
  Hapa nasubiria comment ya laaziz wangu cacico nipate nguvu ya kuutumikia utatu vema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  HAPO ULIPO UNAONA DONGEEEE? UNATAMANI NEEMA INGEKUSHUKIA UWASAPULE VIZURI WATOTO WA KWENU MULEBA! SHINDWA Bishanga! kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  niseme nn bby wangu, zaidi ya kumshangaa Bishanga anavyomuonea wivu huyo kaka, hili bepari hili? kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,195
  Trophy Points: 280
  Mbona wamama mnamzodoaga sana mzee mwenzangu Bishanga bashaija?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Inaniuma kwani jina lako analo ndo maana kakutumi je utaweza kulipa? Najua atakusumbua mrudishie !,000 umsikie
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Nimekupata afu mbona umemjibu platozoom lakini umemensheni jina langu????????????
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daaah kweli penye miti hakuna wajenzi nitumie niwarudishie voda
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  We waache,wao wanadhani bishanga ni joka la kibisa,wakianza kutembea na vikopo ndo watajua bishanga ni nani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  cacico Young Master hajei?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...