Ulitka nirudie uzi mzima kukuandikia wewe??
Umeleta mada hapa uykijinadi kuwa umeitoa akilini mwako bila hata kukopi popote pale,hii ina maana kuwa ulitafakari na kama uliweza kutafakari uliyoandika usingeshindwa kung'amua nilichokuwa nakuuliza kwakuwa hayo ni majadiliano ya mimi na wewe na wala hayahusishi mada nzima na post zake
Unawezaje kufikiri kuwa nimekuambia usome post zote wakati mimi nimeanza kuchangia mada hii usiku huu?
Kwanini umeshindwa tu kuishughulisha akili yako kwenye jambo dogo kama hili?
Unatarajia mtu gani akubali kuwa hii mada ni matokeo ya kufikiri kwako?
,,ndo mana nikakuuliza sehem gani wataka ueleweshwe.badla yake umekuja na kasoro ya kuijumla.
Majibu gani ya kiujumla?
Haya majibu yako yanaonesha vile ambavyo hata kuelewa kulivyo kugumu kwako
Nimekuuliza kuhusiana na kauli uliyoitoa hata masaa matano hayajaisha
Hujui iko wapi
Hii inamaanisha kuwa unaandika vitu ambavyo hata hufikirii
Ungekuwa unafikiri ingekuwa rahisi sana kujua ninakuuliza nini na majibu yake ungeyatoa haraka sana
kumbe ulitaka niingie kujibu tofauti na unavodhan?.,
Wapi nimesema haya?
Kwa nn mambo ya miaka 2000 iliyopita yasijulikane??
Nimesema yasijulikane?
Kijana mbona unazidi kuthibitisha kuwa huna kabisa uwezo wa kuelewa?
Umeshindwa hata kuelewa nilipokuambia kuwa kama umeshindwa kukumbuka au kujua kile ambacho umeandika muda mfupi uliopita utawezaje kujua mambo yaliyotokea miaka zaidi ya 2000 iliyopita,wewe unadai nimesema mambo ya miaka 2000 hayajulikani
Hayo ni mabo mawili tofauti kabisa na hayahusiani
Sijui ni kwa vipi umeshindwa kuelewa jambo dogo kama hilo
,kuna uzi niliona unamtetea sana yesu,kwan ye wa mwaka gani??
Kutokuelewa kwako nilichoandika ndiko kumekupelekea kuja na kusema hii kauli yako ambayo wala haihusiki na nilichokisema
Kuelewa kwako ni tatizo
Ni bora ukaenda kujifunza kuelewa kwanza ndipo uje hapa uanzishe mada
.,na habr yake umeijuaje??,majibi please
Sina haja ya kukujibu kwakuwa tayari nilichokujibu kinakutosha!