Sijafanya hiyo kitu!Umekusudia kusema nini maana maelezo yamekuwa mengi kuliko pointi,em sema nikuelewe sio unakopy na kupaste
Hapo nimekuelewa!
:focus:
Unatetea ufrimason, jee wewe ni mmoja wao?
Haujanijibu hapo!
Hapo hukujibu kama ulivyoulizwa! Kwanini umejibu hivyo? Hii imechangia nikupe maelezo hayo apo chini:Nimeshakujibu sema hukuelewa!,lakini pia lazima ujue kwamba mi sitetei masonic bali naeleza mtazamo wangu kuhusu MASONIC,sasa umeelewa ehh??
Hahahahahahahahaaaa!
Haya bhana! Siwezi kukulazimisha ufrimaso wakati mwenyewe unapinga hilo! But kama utafikiria vizuri kuna somo hapo!
Kwa kawaida binadamu ni kiumbe anaependa kusifiwa na kujifakhiri kwa ubora alionao! Na hata wale binadamu wasiokuwa na ubora huo! Hutumia njia zisizofaa kuhakikisha wanasifiwa! Process hii inaitwa ASPD = Attension seeking personal disorder (wanasaikolojia wanatambua hilo) swali la kujiuliza, kwanini watumie njia mbaya (wadanganye) ili waonekane watakavyo wao?
Hapa jibu ni dogo tu! Wanafake ili nao waonekane wamo!!!!
...
Nadhani haujaelewa main focus yangu hapo! Usijali soma na hapa chini:
...
Kwavile binadamu anapenda kusifiwa (hii haipingiki hata matahira wanapenda kusifiwa na kuonekana wanaakili sawa na watu wengine au hata kuwazidi)
kwa kuhakikisha mwanadamu anapata sifa hiyo (kusifiwa/kuonekana bora) humlazimu kuacha and/or kuficha yale yote anayohisi huenda yakamuondolea hitaji hilo!
(nadhani tunakwenda sawa hadi hapo!)
kwa mantiki hiyo, watu tunaficha maovu na kudisclose mema!
(hapo utatafsiri mwenyewe vile upendavyo!)
...
Kwa upande wa pili, elimu haina mipaka!
Inaruhusika mtu kusomea lolote, (kwa vile huamini Mungu, sijikiti na hoja za kiimani) hapa naongelea THE LAW OF MORALITY WHICH IS INHERENT TO EVERY PERSON! (nadhani unatambua hiyo principle ya law of morality)
Soma, soma, soma tena na tena, soma lolote, soma chochote! Kisichoruhusika ni matumizi mabaya ya kile ulichokisoma! Matumizi mabaya ni any usage which is harmful to other people and/or environment!
...
Free ideas (my friend) Nadhani umenielewa hapo!
Wish u gud day!
Hata mi yalishanikuta lkn sijui chochote, walinikamata wakanifunga kamba na kunipeleka kwenye kanisa lao wakaanza kuniombea ''against christ!''ndo nikashtuka nikaanza kuomba ''shindwa ktk jina la Yesu kristu'' wakachemka,waliangaika na mi siku nzima pale Arusha lkn wapi mpk wakakata tamaa wakaniachia.
mkuu, masonic ni wachawi wasomi wenye longterm planning.Hakuna masonic anayemshika mtu na kumpeleka popote kwa nia ya kumfany amwanachama.hao walikuwa waganha wa kienyeji ama matapeli kwa kivuli cha masonic ideas,ndo mana nathubutu kusema watu wengi hawajui nini maana ya hili jambo
Mbona majibu yangu yanajieleza?!!,nilipokupa mifano ile nilijua kabisa kwamba umeelewa.ok ni hivi kila sehem ilikuwa na ideas na jina tofauti na mwisho wa siku kunikuta wote wakiwa katika ushirika mmoja
Sijakopy popote na wala sina haja,naandika kutoka kichwani direct.kama ingekuwa copy n paste makosa ya kisarufi na typing error zisingekuwepo.
Kwa nn huamini kama nna uwezo huo??,huamini kama naandika kutoka kichwani,?
Sio kwamba siamini kama wewe ndio umeyaandika lahasha nasema hayajatoka kichwani mwako kwa7 yote uliyoyaeleza yapo kwenye wikipedia yashaelezwa kitambo.
'uislam ni ngumu kuingia kwani quran haibadiliki lkn bible inachange every now and then' Mkuu pole sana nadhani huijui biblia probabaly hata hiyo quran huijui kama ambavyo waislam wengi wasivyoijua wakitegemea fasiri kutoka kwa mashehe na maimu. nataka ujue tu kuwa BIBLIA HAIBADILIKI kama wewe unavyoamini na haitabadilika.nakushauri ufanye utafiti zaidi kuhusu jambo hili itakusaidia.
Unaelewa maana ya Free ideas??,kama unaelewa hukuwa na haja ya kuuliza mwanzo.sijasema nemeanzisha kitu kipya ambacho hakikuwepo duniani lapana.nilimaanisha naandika kile ninachokijua kuhusu masonic,na sio kwamba nakopy vitabuni ndo naandika.ndo man ukifuatilia utaona makosa pia ya kiuandishi.
mh!kwa hiyo wewe unabishia hata kile kilichoandikwa na freemason wenyewe?sina grounds za kubishana na wewe kwani umeshasema kuwa hizi ni "free ideas" kutoka kichwani kwako with no references,kwa hiyo si lazima zifanane na uhalisia,siwezi kukubishia maana ni "mawazo yako" mkuu!Go on bwana!
Mwisho umeelewa
ha ha ha ha ha haa!hii staili yako ya kufikisha ujumbe ha ha ha haa!we jamaa una hatari!kweli Jamii intelligence mtu hatakiwi kuingia kichwa kichwa ha ha haa...muda wote huu naongea na wewe huwi muwazi unamung'unya tuu,ngoja nikutukane tusi ambalo mods hawawezi kunipiga ban...KICHWA CHAKO!
Sasa si nimeuliza maswali ili nipate majibu kutoka kwako mleta mada? Au nimekosea kuuliza?