Niijuavyo Freemasonry

"Free Mason ama wajenzi huru,ni jamiii ama kikundi ambacho kina misingi toka zaman sana enzi za mfalme solomon"

umesema hutumii maandiko yyte,,,, je umejuaje mambo yaliyokuwepo enz za mfalme solomon?? au ulikuwepo enzi hzo

NB:;Sikubaliani wala sipingani na andiko lako"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu8, Kwani kabla ya wazungu kuja Africa babu zetu waliabudu nn
Au wahindu wanaabudu ng'ombe wamekosa nn

mwanabhonga
 
Tofautisha matapeli wanaojiita FREEMASON na REAL FREEMASON

mtu mwenye uwezo wa kukufanyia mabaya huwa hana maneno ya vitisho yan utakuta tu yashakukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa walimpiga na wale jaamaa Wa piga Namba hii uunhanishwe na Freemason huyu maana Freemason hawana longolongo wako very serious na kile wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai
 
Hofu inakuja kwa sababu mnapenda na kuamini mno story za ki chai chai.
Ukiweza kusoma vyanzo mbalimbali vya taarifa zao hasa zilizo katika lugha za Kingereza hofu yenu itaondoka.
Kwa inavyoelekea na wewe ni mfuasi wa free mason kwa unavyojieleza sina shaka na hilo. kama hawana lengo baya hofu kwa ss inakujaje?
 
Freemason wanaabudu mungu yupi?
 
Hii hadithi yako ni ya uongo au binti yako alirubuniwa na matapeli.
 
Hakuna kafara wanazotoa,amezidisha chumvi tu kwenye stori.
So many contradictions.Wanasema hawana dini lakini wanatoa makafara, wanataka kuitawala Dunia na ku initiate watu wengi lakini wana operate kisiri. Mambo mengi yamejificha kwa hii Organization.Msidanganye watu hasa walioko kwenye fani ya ujenzi
 
Wakuunge ukafanye nini?
Hawaungi watu wasio na muelekeo wa maisha,wanaunga watu wanaoweza kuwasaidia binadamu wengine kufikia malengo yao.
 
Uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…