Niijuavyo Freemasonry

nusuhela, Tafadhali ndugu tunaweza endana kwa maana ya mitizamo kama hutajali sana tutaftane whatsap no hii 0755650836 wengi nikajifunza kwako nawe pia ukajifunza kwangu
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kuwa, ni hii inamilikiwa na masonic
 
Mkuu, mbona jamaa kataja makanisa kadhaa, hizi hasira zako kwa RC (Roman Cathoric ) zinatoka wapi!?
 
Mkuu Eiyer, heshima kwako; hope utakua unaikumbuka ile story ya wale vipofu 2 waliobahatika kumpapasa TEMBO, mmoja alimshika TEMBO sikio lake wakati mwingine alimpapasa mwili wake, wakati wanatoa mrejesho kwa vipofu wenzao kila mmoja alielezea jinsi ukubwa wa tembo ulivyokua, yule aliye shika na kupapasa UPANDE wa sikio alisema, tembo ni mpana kama SAHANI na yule aliye mpapasa mwili wake nae akasema, TEMBO ni mkubwa na mpana kama UKUTA. Hao vipofu wote hakuna aliyeongea UONGO, wote walizungumza sawasawa na findings zao, labda na wewe unaufahamu ukweli wa hili kundi la SIRI, eleza unayo yafahamu ili wote tupate tu ELIMU hi ya hili kundi la SIRI!
 
Tufanyeni kazi haya mambo yanatupotezea tu muda wetu


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
si kweli kwamba JESUTS ilianzishwa ili kuchukua nafasi ya Freemason,kumbuka vipo vikundi vingi vya siri ambavyo aidha vinafanana au vinahusiana.
 
kuna familia moja hivi tajiri je yenyewe inahusiana vipi na chanzo cha free mason, I think Rutherford kama sikosei
 
HAKUNA SIRI ULIYOANDIKA HAPA
HAKUNA JIPYA NYUZI ZA NAMNA HII ZIMEANDIKWA SANA HAPA NA ZENYE DETAILS ZA KUTOSHA SIYO HII SHALLOW.
 
Njia iendayo mbinguni ni nyembamba na Watu waingiao ni wachache sana.

Tafakari, stuka, chukua hatua haraka iwezekanavyo kwani tokana na wingi wa huo U-RC wako utakuwa ushapata majibu ni wapi ulipo/siyo njia iendayo mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Njia iendayo mbinguni ni nyembamba na Watu waingiao ni wachache sana" Bible verses.

Tafakari, stuka, chukua hatua haraka iwezekanavyo kwani tokana na wingi wa huo U-RC wako utakuwa ushapata majibu ni wapi ulipo/siyo njia iendayo mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatafutwa waumini wapya kwenye kikanisa chao kime pwaya hakuna wakristu wamekishitukia hawaendi. Sasa kutwa wapo mtandaoni wanatukana makanisa makubw ili wao wainekane wakweli. Wanafiki watupu.
Mtu mmoja ana ID tano anatoa mada anaanza kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaisari, Njia iendayo mbinguni ni nyembamba na Watu waingiao ni wachache sana.

Tafakari, stuka, chukua hatua haraka iwezekanavyo kwani tokana na wingi wa huo U-RC wako utakuwa ushapata majibu ni wapi ulipo/siyo njia iendayo mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…