Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Freemason ni taasisi halali kabisa na hapa Tz inafanya shughuli zake ki halali na inatambuliwa na serikali ya Jamuhuri kwa kuwa haikiuki katiba ya nchi.

Thax kwa kuwajulisha,kuna watu hawajui kabisa kwamba ni taasisi halali na ina ofisi kabisa na wafanyakazi kama sehemu zingine,upozofu na imani za watu zinafanya taasisi hii itafsirike vibaya
 
Kijana umesema ni tungo zako kumbe umecopy kwenye kitabu


Lakini hongera maana hata kuandika hii chapisho kwa lilivyo refu umejitolea safi sana

Asante,kiukwel hii kitu nimeandika jana saa tisa usiku kwa saa za huko tz.na kitabu changu nilichozungumzia hakina maandishi haya wala sijakopy,ila kinazungumzia maana ya dini,imani,na historia ya ukristo na uislam na pia udhaifu wa wa iman,kwa hiyo nilivosema mtafute kitabu changu msome nilimaanisha mpate mwanga wa chimbuko la dini ambapo ingwezewa kuwa fanya muelewa masonic kwamba ni halali.
 
Free idea umesema umeandika kwa "kutumia akili binafsi bila machapisho wala vitabu rejeaa..."
Huo ni uongo mkubwa sana. Ww ulikuwepo kipindi cha kina solomon na kipindi chote hicho ili uweze kuandika ulicho andika kutoka "kichwani kwako" mwenyewe?
Ni lazima ulisoma na kupitia sources flani flani hadi kuweza kuandika hio post hapo juu. It can never come from your own mind.
Pili mtoa mada knowledge yako ya freemason ni bora kuliko wengi wa watu lakini bado uko kama 25% right which is good considering what others think about this fraternity.

Asante mkuu kwa kutambua uelewa wangu.na kuhusu kuwepo wakat wa akina solomon ni kwel kabisa sikuwepo ila historia yasema hayo na nilimaanisha sijakopy na kupaste bali naandika kwa kutmia kichwa changu
 
Asante mkuu kwa kutambua uelewa wangu.na kuhusu kuwepo wakat wa akina solomon ni kwel kabisa sikuwepo ila historia yasema hayo na nilimaanisha sijakopy na kupaste bali naandika kwa kutmia kichwa changu

sasa huoni kuwa umefanya plagariasm kitu ambacho hakiruhusiwi uwezi kusema mambo ya king Solomon wakati ukuwepo na wengi tulisoma ndo tukaelewa mkuu wewe sema kuna sources ulipitia ndo ukaweza ku turn into your words
 
Nitaaanza kwanza kwa kuifafanua maana ya Free mason na misingi yake,(narudia tena please hii ni kwa mujibu wangu na nnaandika kutoka kichwan sio machapisho yoyote).

Ha ha ha! Umeoteshwa.
 
So many contradictions.Wanasema hawana dini lakini wanatoa makafara, wanataka kuitawala Dunia na ku initiate watu wengi lakini wana operate kisiri. Mambo mengi yamejificha kwa hii Organization.Msidanganye watu hasa walioko kwenye fani ya ujenzi

Kutoa kafara sio lazima uwe na dini,na kuoperate kisiri haimaanishi kwamba ni waovu.bali mikakati yoyote ile ya ushitika ama chama huwa inafanywa kwa umakini na usiri.na maadhimio huwa ni siri.ni kama siri za chama hat katibu wa chama anaeeza asiwe anajua zote japo yeye ndo mwandishi
 
Waache waingie kichwa kichwa tu! Yakiwakuta tunaomba mrejesho!

Kuingia kichwa kichwa maana yake nn??,,lengo la uzi wangu ni kueleza ukwel unaopozoshwa kwa sababu ya hofu ya kugombea waumini na sio kuvuna wafuasi maana sina pa kuwapeleka
 
sasa huoni kuwa umefanya plagariasm kitu ambacho hakiruhusiwi uwezi kusema mambo ya king Solomon wakati ukuwepo na wengi tulisoma ndo tukaelewa mkuu wewe sema kuna sources ulipitia ndo ukaweza ku turn into your words

Nikikwambia ueleze uujuavyo ukristo ama uislam kwa bila kutumia vitabu ama source yoyote .na kisha ukanielezea hapo hapo japo hata mistar kumi tu ndo nilichomaanisha mkuu
 
Freemason ni taasisi halali kabisa na hapa Tz inafanya shughuli zake ki halali na inatambuliwa na serikali ya Jamuhuri kwa kuwa haikiuki katiba ya nchi.

There are no freemasons in Africa
 
Ni kufanyakitu usichojua athari zake!
Narudia,masonic ni Idea kama Idea zingine za kimaisha zenye misingi fulani.

Ili iweje?

Ili kuondoa upotoshaji juu ya kile ambacho nakifaham na kinapotoshwa
 
Back
Top Bottom