FREEMASONRY TANZANIA
New Member
- Apr 18, 2014
- 3
- 0
Ushawahi kuiona roho yako?Roho wa mungu maana yake nini??,Ulishawahi kumuon??a
Ushawahi kuiona roho yako?
Sijui unaetetea masonic nawe ni mmoja wao au??!!
sina cha kukusaidia! Coz mimi si mmoja wao [fremason]
...
Nachoweza kukuambia ni kuwa, tafuta kazi ufanye, na uache mambo ya kushobokea fremason! Njaa itakuua! Oohoo!
Mkuu mleta uzu huu ni mmojawapo, hata kujieleza kwake na mtiririko wake ni mmojawapo!
Mi nina moyo na sijui kuhusu roho,labda nifahamishe
ujanja wako utaisha pindi utakapo waona malaika waliokuja kuichua hio roho.
The Gaps of Science does not create God,or means that There is GOD ,its the matter of time & Development in science fields.If they do create him,allow me to call him THE GOD OF GAPS,
Mi nina moyo na sijui kuhusu roho,labda nifahamishe
kwanini utaje moyo na sio kiungo kingine?
utasemaje huna kitu ambacho hukijui?
au uwezo wako mdogo?
Watakuja lini?,Nani alikwambia huwa wanakuja ?,Una ushahidi katika hili ama umekariri mafundsho ya kimapokeo??
We nilishakwambia sitakujibu chochote maana hujui kujadili kwa busara,dakika mbili haziishi unaishia kutukana matusi.
TAtizo umekariri n hutaki jubadilika,pole sana kijana.