Hata nikikujibu NDIO,haitakusaidia,kama una cha kuchangia changi tu.jibu langi sio la muhim sana
Jiamini mkuu, naona una wasiwasi kama unaoga nje!! Nia yangu ni nzuri tu, manake ungejibu swali langu ningeweza kuchangia mada yako.
Kama nia yao ni kuwatoa watu hofu about life after death,heaven, hell then therefore its satanic ideas,refer your statement that its not a religion but an idea
Your statements zinaprove that they do not believe in God's existence,...but believe it or Not,MUNGU yupo and nobody should be in the position to oppose/doubt his existence
WANAFANYAJE KAZI
Msonic hufanya shughuli zao kwa umakini na kanuni zao ni za siri pia.wanavitabu na mafunzo ya misingi imara katika dini yao.ili kuhakikisha wanajieneza kwa kiasi kikubwa ,wao hudeal na watu maarufu ama utafiki ama bidhaa pendwa ambapo husapoti na kuendesha shughuli mbalimbali kwa ufanisi mkubwa.
Umesema Masonic sio DINI LAKINI HIYO RED LINE hayo maneno umeyasahau uliyosema? Na kama ni Idea lakini ukatafsiri maana ya DINI DINI ni utaratibu mzima wa maisha ya binadamu ya kila siku namna anavyoamini kama vile wengne wakimka ufanya ishara ya msalaba sisi waislamu tuna dua maalum ukiamka kumshukuru aliyekuumba na pia ukitaka kutoka kuna dua yake ukitaka kulala kuna dua yake ukitaka kula kuna dua yake...masonic wanaamin zao ambazo utoa kafara,wanavitabu vyao ambapo hata sisi tuna kitabu chetu tunachokiamin masonic wanamasonic book ambazo uziamin na wanamasonic bible ambapo pia ukiamin.....ishara zao wanamavazi yao...wanasalamu yao je utsemaje sio dini ikiwa umesema dini ni aina ya maisha(/shughuli za kimaisha) ambayo mwanadam anaishi/anafanya kila siku.shughulizi hizo ni kama kuzalisha,kutambika,na tamaduni zote.kwa hiyo nikisema dini ni utamaduni nadhn bado ntakuwa sawa.
naona unajichanganya boss
Ni wajanja sana hawa. Wanatuingiza wengine hata bila kujua kwenye namba 666. Mara tunaambiwa kubonyeza*150*60*123# kumbe unajikuta umejumlisha *6*6*6=666! Hata kuingia katika website 'www', herufi hizo za Kirumi ni sawa na 666 maana W=6! Chunguzeni vizuri wana jf. Mpinga Kristo yuko kazini.
Huu ndio unabii wa biblia, kwamba malengo makuu ya freemasoni ni kuitawala dunia. Watakapo itawala usipowakubali hutauza wala kununua.
Umepiga Debe vyakutosha tumeshakujua wewe ni nani na
lengo lako la kuanzisha huu uzi ni nini Tatizo
ni kuwa umeanza kuijua FM leo Na pia umekurupuka
Kujiunga nao ndo mana hata wadau waliochangia
wakikuuliza maswali huwajibu kama walivyokuu
liza na wengine kuamua kusepa hii nikutokana
na wewe kuanzisha kitu ambacho wewe mwenye
we hukijui mf. Unasema mara Fm sio dini sehemu
ingine unasema ni dini hueleweki. Kwa maelezo yako
toka mwanzo+Avatar yako+ Id yako wewe ni
FM aliyekurupuka. Nakuomba unapojiunga na
kitu/taasisi yoyote jaribu kuisoma na kuijua vizuri
Hii itakusaidia kuto kujutia baadae.... Hasante
Ni hayo tu.
Ukisema nobody should be in the Position to oppose/doubt his existence utakuwa unakosea sana.Ulishawahi kujiuliza kwa nini unaogopa kuhusu Mungu??,ulishafanya japo utafiti kuhusu swala la imani???.
Ni wajanja sana hawa. Wanatuingiza wengine hata bila kujua kwenye namba 666. Mara tunaambiwa kubonyeza*150*60*123# kumbe unajikuta umejumlisha *6*6*6=666! Hata kuingia katika website 'www', herufi hizo za Kirumi ni sawa na 666 maana W=6! Chunguzeni vizuri wana jf. Mpinga Kristo yuko kazini.
Imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo na ni Bayana ya mambo yasiyoonekana....hivyo 2naamini ya kuwa Mungu ni roho na anafanya na kutenda mambo mengi makubwa kwa njia ya imani
Kumuogopa/Kumheshimu Mungu hakuepukiki kwa saba zifuatazo..
i) Ni mtawala wa vyote hvyo anapaswa kuogopwa/kuheshimiwa kama we ufanyavyo kwa bosi wako/raisi wako
ii)Ni source ya life existence of the universe
I'll explain to you sooner of later nikipanga madesa
Asante kwa mtazamo wako,na ndo mana nikasema situmii rejeo ama kitabu chochote,na asante kwa kujudge kwamba sijui chochote,naomba unijibu maswali hata kutokana na majibu yako hapo jui.
1.,ufalme wa nuru na ufalme wa giza maana yake nn??
2.nani ambaye ni controller,ama mmiliki wa falme hizo mbili\??,kama jibu ni mungu kwa nn anaruhusu falme mbili\???kma jibu ni shetani,je mungu kambuimba ili apingane nae??
3.,je ulishawahi kufikiria kwa nini dunia ambayo imeumbwa na umsemaje mungu mwenye mapendo na baraka zote,tena asiye na ovu na ikawa na maovu,visasi,chuki na mioyo migumu??
4.je ulishwahi kufikiria kwa nn mungu anapingana na shetan aliyemuumba??,uliwahi kujiuliza kwa nn shetan alimwambia yesu kwba miliki zote za nnchi ni mali yake\???
Jibu hayo kwanza nione IQ,,yako maana naweza kukup mzigo usiouweza
Maswali yako pekee, yanaonyesha imani yako katika dini ni dhaifu na pengine mfuasi wa freemasons.
Kama ni mkristo au muislamu unayejua vizuri vitabu vitakatifu. Majibu ya hayo maswali yapo huko.
Hakuna majibu huko ipasemapo,na kama apo yalete.kuhusu mimi sina dini na wala sihitaji kuwa na dini maana sion haja.
kwa nilivyokuelewa freeideas, wewe huna dini wala huitaji dini.
ila sijajua ni nguvu gani inakufanya uweze kushawishika kwenye ideas za kimasonic na kuwazungumza kama vile wewe ni advocate wao---kuwa ni watu wenye nia njema kwa watu, kuliko kushawishika na dini zetu zilizowazi zaidi kwenye jamii na wala haziendeshi mambo kwa siri wala kificho kama walivyo hao freemansory.......anyway sijajua, jibu unalo wewe..........if you can't find something to live for, then you better find something to die for.