Mikwara Ya Andunje
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 391
- 804
Mbona huyo mtu nishamtumia milioni 25 cashsasa wamchangie niniWe Kiranga tafadhari huu uzi wa matatizo hivyo msianze hayo mambo mwenzenu anahitaji 5000 toka kwenu. Hamuelewi????? Mi sitoi ng'o!!!
ThanksPole san
Mm nakupa poleHabari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.
Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?
Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.
Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.
I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.
Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.
Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Hapo unataka Mungu akusaidie nini?Mungu anisaidie, sijui kwanini sina huruma na watu kama hawa
Funny indeed! Mtu akurupuke huko alikotoka na stori isiyo na kichwa wala miguu atake watu wampe 25m bila collateral?Hahahahaaa! Funny.
mgunga pori njoo huku tumsaidie mwanajf mwenzetu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo sisi wanajf ndio wa kwake mpaka atake kula janga lake na sisi?Kweli mchuma janga hula na wakwao
Maelezo yake hayajitoshelezi mkuu ndio maana watu wanatia shaks
pole san wanguPole sana!Lakini kwanini unataka kujiua?kwani bank wamesema watakupa adhabu gani kubwa kuliko kifo, nadhani hamkuelewana, watakudai lakini mwisho wa siku watafuata sheria, lakini sijui kama mahakama ina adhabu ya kifo ukishindwa kulipa hata senti moja . Sana sana watachukua ulichonacho, tunza uhai.
Mungu mwenyewe ashajua cha kunisaidiaHapo unataka Mungu akusaidie nini?
Kama hii stori si chai,Inawezekana vipi Mamilion yapukutike mpaka 6500/= Ma mdogo??Duh!! Japo sishawishiki kuamini Lakn mchango wangu ni "POLE " mkuuMimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi
weka supporting evidence hapa (ushahidi) tuamini kama ni kweli kabla ya kutoa pesa. mimi ninaweza kukusaidia laki tano hata kesho kama utatoa vielelezo vya kuthibitisha unadaiwa kweliHabari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.
Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?
Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.
Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.
I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.
Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.
Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Sina hakika kama support evidence anayo maana wengi wametaka kujiridhisha lakini wamefeliweka supporting evidence hapa (ushahidi) tuamini kama ni kweli kabla ya kutoa pesa. mimi ninaweza kukusaidia laki tano hata kesho kama utatoa vielelezo vya kuthibitisha unadaiwa kweli