Uje nikupeleke studio msukumaZogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh
Shall I coniinue....?
Dada eeh! Hao watu 25 tukikupa iyo hela utaweza kufanya kazi kwa watu wote ili ulipe deni? Tanzania ni kubwa panda gari nenda sitimbi tafuta makazi yasiojulikana jichimbie huko na uanze moja ,jela inakuhusu na uje ujibu comment za watu huku naona umekachaHabari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.
Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?
Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.
Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.
I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.
Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.
Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Uje nikupeleke studio msukuma
Yes nduguZogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh
Shall I coniinue....?
Fanya hivi, hiyo 6,500/- asubuhi nunua bundle la buku (data). Kisha 5,500/- tupia kwenye tigo pesa/m-pesa.
Download app ya 1xbet www.1xbet.com kisha fungua account humo kwa kufuata maelekezo. Kisha upload/deposit hiyo 5,000/-
Ukimaliza close app, fungua app ya Jamii Forums kisha ingia kwenye huu uzi
![]()
![]()
![]()
Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo! - JamiiForums
Hapo utakutana na wataalamu wa mambo ya kuzalisha pesa kwa kucheza na intuition na lucky. Ukiwa na bahati mpaka jioni unaweza ukawa umepata pakuanzia.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

We Kiranga tafadhari huu uzi wa matatizo hivyo msianze hayo mambo mwenzenu anahitaji 5000 toka kwenu. Hamuelewi????? Mi sitoi ng'o!!!We binti umepotelea wapi?
Studio ya kurekodi au studio apartment?
Wewe nani kakwambia haiwezi kuzidi masaa 12? Sisi bankers tunajua hii mambo. Hata siku 2 inawezekana. Especially kama ni weekend.Hii ni story ya uongo. Kwanza bank wakikosea wakaweka pesa kwenye acc yako haiwezi kufika zaid ya masaa 12 bila kujua ilo tatizo na kuzirudisha izo pesa au kukutafta kama umeshazitumia. Mimi ilishanitokea hata masaa 6 hayakufika wakawa wamenitafta na nkarudisha pesa yao.
Alafu pia kama hii story ni ya kweli, bank hawaweza kukupeleka popote yan wanakuwa wamekupa mkopo naa wewe unakubaliana nao kuwa uwalipe kidogo kidogo.
Acha itapeli.
Dunia matatizo, fight tulizo kaa RIP KizzoWe Kiranga tafadhari huu uzi wa matatizo hivyo msianze hayo mambo mwenzenu anahitaji 5000 toka kwenu. Hamuelewi????? Mi sitoi ng'o!!!
Kwa upuuzi huumuite tajiri wako G amsaidie dada wa watu...





Vyuma vya Baba J, buma ka Jei Kei
Huna kukaba bei, vuma la cheichei
Danga la Darislamu
Janga kabla salamu
Mpela mpela, shuta karamu, nanga haramu
Mnyonge Hanga, zubaa bila shufaa kaa sanamu
Moto boiling point ka Jehanamu, sina hamu
Kufa hatufi, maisha zigo la chuki
Mizinga na mikuki, kama nyuki
Kaiba haiba, swahiba kaimba
Faida sikawaida,kawinda kwa inda
Vumbua mavumba, zaa toa ugumba,
Uza nyumba weka heshima bar Zanzibar kindumba
Deni unalifuga, halifungi,halimbungi
Tamthiliya kubwa, "Weep Not, Child" wa Thiong'o Ngugi