billionea mwenyewe huyoo.Weka namba yako ya simu hapa nikutumie hio 1M fasta...
Mhhh. Hii story imefanywa iwe ni Kweli au imefanywa iwe ni Fix????!!!Habari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.
Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?
Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.
Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.
I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.
Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.
Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
TehMkuu, mleta mada, Embu weka namba yako hapa tuanze kukusukumia michango yetu.
Kwa pamoja lazima hilo deni tulifyekelee mbali.
Mimi pekee natoa Shilingi milioni 50 cashEasy as that?wana jf 25 watoe kila mmoja mil 1 sio?
Unaota boss.
kwa Akili Yako Fupi Na Ya Kike Unadhani Nitawaza Kufa?Asante ila siku yakikukuta yoyote ukumbuke ulichokiandika hapa
Akili yangu ni fupi lakini pesa zangu ni ndefu ukifa si nitakununulia tu jeneza la dhahabukwa Akili Yako Fupi Na Ya Kike Unadhani Nitawaza Kufa?
Yewomiee! nacheka kama mazuri haya watu 25 kila mtu 1m kiulaini 25,000,000/=
Na hii ni ndoto ya mchana kweupe
Mkuu katumikie tu mvua 10, tamaa ni hasara.Habari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.
Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?
Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.
Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.
I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.
Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.
Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Mm aniwekee hapa benki statement inayoonesha aliingiziwa M25,na ioneshe alitoa yote,baada ya kuona aje PM achukue M kadhaa zimsaidie.
Inawezekana mkuu, kuna mzee alistaafu vijana wakamlainisha kuwa kuna biashara nzuri ya faida, akawapa milioni hamsini yaliojiri ni siri yake.Anatuzingua tu huyu mkuu mill 25 yote adhulumiwe kiboya boya alafu atuletee shida zake humu
Mzee uko vizuri nilikuwa najaribu kuchana kupitia hizi bars zako daah fresh sanaVyuma vya Baba J, buma ka Jei Kei
Huna kukaba bei, vuma la cheichei
Danga la Darislamu
Janga kabla salamu
Mpela mpela, shuta karamu, nanga haramu
Mnyonge Hanga, zubaa bila shufaa kaa sanamu
Moto boiling point ka Jehanamu, sina hamu
Kufa hatufi, maisha zigo la chuki
Mizinga na mikuki, kama nyuki
Kaiba haiba, swahiba kaimba
Faida sikawaida,kawinda kwa inda
Vumbua mavumba, zaa toa ugumba,
Uza nyumba weka heshima bar Zanzibar kindumba
Deni unalifuga, halifungi,halimbungi
Tamthiliya kubwa, "Weep Not, Child" wa Thiong'o Ngugi