Nihurumieni mwenzenu nakufa

Nihurumieni mwenzenu nakufa

pole sana kwani wewe unaishi wapi ili hata msaada wangu ufanikiwe kukufikia
 
Afu wewe Dada acha mambo zako hizi sio enzi za jk, ungetoa papuchi kwa watu hata 5 tatizo lingeisha.

Kabla sijakupa pole uliwaza mini kuandika hii kitu😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁? Mjini shule ila sio lazima uje na madaftari na kalamu, mjini ni smartphone na bando.
 
Afu kwa uhakika kabisa humu Jf hakuna MTU anaemiriki A/c yenye hata mil 30 hayupo narudia tena hayupooooooooooooooooo

Ushauri, hizo 6500 cheza buku, utaona nguvu ya huku.
 
kwani ukifa kuna hasara gani kwa mtu mwizi na tapeli kama wewe? kafe tu.
 
Mimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi

Bila shaka ulipokopa uliweka dhamana ya mali fulani kama nyumba au Biashara au mshahara.
Kwa hiyo hiyo dhamana unaweza kutumika kulipa hilo deni.
 
Usituzingue Kama bank waliingiza kimakosa Kawaida anaedaiwa ni operator alieingiza huo muamala kwako sasa wewe unahaha nini account si yako kosa lako nini Kama ulikopa useme lakini sio pesa ya kwenye account yako ndo ikuue nendeni mahakamani unashinda kesi asubuhi
 
Mimi hata nidaiwe kichwa sijiui, acha ubwege wewe kuwa jasiri deni aliui bora ufungwe kuliko kujiua kesi ya kudaiwa sisawa na kesi ya kuua au kubaka kusema utaozea jela.
Ukiweza kupita mtihani huu hakika utakuwa imara sana na tegemea mafanikio mbeleni.
Halafu kwa dunia ya sasa iliyojaa utapeli,ubinafsi na ugumi wa maisha ukipata mtu wa kukulipia ilo deni mshukuru Mungu sana.
Wewe Kamanda ushauri mzuri sana.kuliko pesa
 
Mzee uko vizuri nilikuwa najaribu kuchana kupitia hizi bars zako daah fresh sana
big up Mkuu Kiranga
Hahaa, naweza kuwa ghostwriter wa msanii maarufu hivi hivi, kesho nasikia bars zangu redioni, hahaaa.

Napenda sana wordplay, double decker rhymes, double entendre.

Sisi ndio tumeanzisha hayo mambo ya kuchana Bongo. Sasa hivi tumeachia vijana.
 
Afu wewe Dada acha mambo zako hizi sio enzi za jk, ungetoa papuchi kwa watu hata 5 tatizo lingeisha.

Kabla sijakupa pole uliwaza mini kuandika hii kitu? Mjini shule ila sio lazima uje na madaftari na kalamu, mjini ni smartphone na bando.
Papuchi hiyo ina worth 5M??
 
Afu kwa uhakika kabisa humu Jf hakuna MTU anaemiriki A/c yenye hata mil 30 hayupo narudia tena hayupooooooooooooooooo

Ushauri, hizo 6500 cheza buku, utaona nguvu ya huku.
Watu wote jf unawajua hadi kina nape wapo humu,kuna watu watatu nawafahamu humu wana pesa kuzidi hiyo milion 30 ni zaidii,usiongelee watu

Mtoa mada kufa hafi ila cha moto atakipata
 
Hahaa, naweza kuwa ghostwriter wa msanii maarufu hivi hivi, kesho nasikia bars zangu redioni, hahaaa.

Napenda sana wordplay, double decker rhymes, double entendre.

Sisi ndio tumeanzisha hayo mambo ya kuchana Bongo. Sasa hivi tumeachia vijana.
kwa uandishi huo rapers wengi wa bongo umewaacha mbali sana
 
Dada mkiwa ulikuwa umeongea na Mo au bado? Basi umechelewa. Kwa uelewa wangu yule angekufikiria ila ndo hivyo kachukuliwa na wasiojulikana. Acha kuleta rongo rongo JF. Nenda kwa Bashite.
 
kwa uandishi huo rapers wengi wa bongo umewaacha mbali sana
Zogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh

Shall I coniinue....?
 
Vyuma vya Baba J, buma ka Jei Kei
Huna kukaba bei, vuma la cheichei
Danga la Darislamu
Janga kabla salamu
Mpela mpela, shuta karamu, nanga haramu
Mnyonge Hanga, zubaa bila shufaa kaa sanamu
Moto boiling point ka Jehanamu, sina hamu
Kufa hatufi, maisha zigo la chuki
Mizinga na mikuki, kama nyuki
Kaiba haiba, swahiba kaimba
Faida sikawaida,kawinda kwa inda
Vumbua mavumba, zaa toa ugumba,
Uza nyumba weka heshima bar Zanzibar kindumba
Deni unalifuga, halifungi,halimbungi
Tamthiliya kubwa, "Weep Not, Child" wa Thiong'o Ngugi
kiranga hivi siku hizi unatumia bangi ya kisarawe au ugoro wa namtumbo???
 
Back
Top Bottom