Nihurumieni mwenzenu nakufa

Nihurumieni mwenzenu nakufa

Zogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh

Shall I coniinue....?
DAMN shit is dope
Satisfied big up once again kiranga
 
watu wengine wanaonaga msaada ni kitu rahisi rahis jamanii
Mpaka aibu nimeona mimi.

Changeni watu 25 kila mmoja milioni.

Kwa maelezo haya au business proposal gani?

Yani hi attitude tu inaeleza kwa nini mtu kashindwa kulipa deni, na hata kusaidia kulipa deni inawezekana kukawa si kutatua tatizo, bali kuongeza tatizo kama kumpa teja hela.

Mtu ana entitlement attitude mpaka unaona huyu hii habari ni kweli au anatuzingua tu aone tunavyojibu?

Misada inatolewa sana tu, tena mtu kama mimi nisiyeenda kanisani wala msikitini ukipita mwaka sijamaliza bajeti yangu ya kutoa misaada najisikia vibaya, kwamba kanisani siendi kutoa sadaka, msikitini sitoi zaka, basi hata msaada (kwa watu nisiowajua, familia na marafiki sihesabu kama msaada) nishindwe?

Natoa.

Lakini kwa maelezo yanayopita usaili wa bodi ya wadhamini wa uhasibu wa urari wa mapato na matumizi na mrejesho wa faida zinazoeleweka.

Mzee Ruksa Mwinyi alipenda kunukuu msemo mmoja wa Kisahili.

Mali bila daftari, hupotea bila habari.
 
Zogo la dogo shobo, shombo la chombo
Boost la dust Congo, gesi la Songosongo toka dongo la Bongo
Hongo la gongo bila Mboto, Kulwa asiye Doto
Susa kushusha vyombo, muziki wa Kyanga Songo
Barafu yamoto isiyo band, rubber band inatafuta hela za wasela
Simela, mkopo haufungi jela
Pafu ya instagramu photo
Omba kitana kitwana kipara ngoto
Komba magutu magoto, uwe Mobutu wa lotto
Omba njuka msokoto, vunja kokoto kwa joto
Omba suka apate tongotongo, aendeshe longolongo
Omba shuka fyongo, Kigilagila chukua viroboto
Omba raha msoto, gomba Mrisho Mpoto kwa muziki wa Jerry Kotto
Ngoma ya mtoto haikeshi, muamala uwe cash keshkesh
Jaza hips Kihabeshi
Magu kabana reli mpaka msafara wa jeshi!
Kukopa harusi, kulipa matanga, labda cheki MATAGA itataga
Nishani ya amani iso kifani kwa waghani
Duniani zamani tulidhani tafrani ni kani ya ku run pwani hata pwani
Greece Ubatani, tukasepea wadogo mpaka leo ukubwani...
Ahhhh

Shall I coniinue....?
Man u good! Big up
 
Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh
Hiyo ni kesi ya madai wala sio jinai...huwezi kufungwa ila utafilisiwa na mahakama...kama ulikuwa ni sole proprietor...lakini naona hapo kama unaweka kamtego fulani ka kuwanasa wakware..
 
Ah, kama ni MILIONI 25 we kufa tu, ingekuwa ELFU 25 mi ningekusaidia kwa masharti yoyote kama mwenyewe ulivyosema.
 
Hiyo ni kesi ya madai wala sio jinai...huwezi kufungwa ila utafilisiwa na mahakama...kama ulikuwa ni sole proprietor...lakini naona hapo kama unaweka kamtego fulani ka kuwanasa wakware..
Exactly. Hana lolote zaidi ya kuwa kategesha kalio njiapanda
 
Man u good! Big up
Ametokelezea ova kidosi
Katupotelezea Kova Mwangosi
Risasi kaa cha kisasi kikosi
Hela za pasi, mambo si safi, kubeba boksi
Umasikini si UKIMWI, ila mambo kwa soksi
Umakini wa jibini kando misosi mikosi
JF mapozi ya kozi, virungu vikonzi
Wengine walozi wa hodhi, vifungu vya Ponzi
Kama serikali changisha kodi
Kopa usilipe mikopo ya bodi
Ukishindwa omba Sir Godii
Mo Dewji tuteke, swagger la Sanga Tuntemeke
Kinondoni, Ilala Temeke
Mpaka Ubungo bingo kwa maringo
Sadaka Luther House, nyumba ya mviringo
Not fair, first class Swissair
Queen Bee, needs tge utmost care
In the Panamera GTS, with GPS
Moving funds to Zurich, UBS
Swiss switch in the Lear Jet
Suckers in check in this chess
C'est la vie, you are niw rocking with the best
 
Back
Top Bottom