Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Story yko haina nyama za kutosha.. Hujasema hata ni biashara gani ulifungua ukatapeliwa! Yani ipo juu juu tu
Sitangazi biashara yoyote hapa nina shida that's allSamahani lakini mimi naona kama kuna kabiashara unakatangaza kijanja,maana unajua hakuna anaeweza kumpa pesa mdada bure bure
Asante ila siku yakikukuta yoyote ukumbuke ulichokiandika hapaBado Hujafa Tu
Asante sanadaah pole sana
MhhhWeka namba yako ya simu hapa nikutumie hio 1M fasta...
Matibabu tu tumekuwa wagumu kuchangia itakuwa kumlipia mtu 25M?Huwajui memba wa JF kwenye maswala ya michango !!....hata buku hupati humu
Matibabu tu tumekuwa wagumu kuchangia itakuwa kumlipia mtu 25M?
Natilia shaka kama atapata waungwana kiasi hicho.
Yule dada alikuwa anahitaji % ndogo sana ya hiyo 25M.Ni kweli. Dada Aggyjay hakupata watu wengi wa kumchangia.
Ila kuna baadhi yetu wachache ambao tunamfahamu, tulimsaidia.
Halafu yeye hakuja na ID mbadala. Alikuja na ID yake ya siku zote.
Yule dada alikuwa anahitaji % ndogo sana ya hiyo 25M.
Watu wachache wenye moyo mmewezesha apate bima.
Endeleeni na moyo huo.
Hili nalo swali anatakiwa ajiukize kwa kweli,Masharti ya watu 25 utayaweza kweli?

Kabisa ajiulize, na bado anasema atafanya chochote watakachohitajHili nalo swali anatakiwa ajiukize kwa kweli,![]()

Hahah, yaani atajikuta anazidi kutumbukia matatizoni.Kabisa ajiulize, na bado anasema atafanya chochote watakachohitaj![]()
![]()