Nihurumieni mwenzenu nakufa

Hata simu hauna
 
Pole sana kwa yaliokukuta, ila deni sio kifungo (wenye uelewa na hili, waelewa hoja). Kama hautojari, unaweza karibia pm tuongee vizuri.....
 
Tunakopesha kwa dhamana ya mshahara
Umesema mshahara wako ni laki mbili, kwa mshahara huo huwezi kukopa zaidi ya milioni sita.
Na kwann wasiendelee kukata kutoka kwenye mshahara?
 
Ilikuwaje mwisho wa siku?
 
Hata yule bwana mtodo anaitwa EMMA alikujaga hivi hivi.
Watu kuweni makini
 
brother you cannot be serious
 
Nimemiss bongo star search... Hivi bado ipogo?
 
Masharti ya watu 25 utayaweza kweli?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…