Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Mautarii??? Hehehe
tumeshajua tunapoteza muda kumshauri mtu wa aina Gani
Siyo! Maana nina zaidi ya miaka 4. sijafanya kazi ya utalii, mimi ni jiko la shamba sichagui kuni, ili mradi fursa ya pesa..!
 
Ukitaka maisha kuvuta bange, kusokota dread au kuvaa kimasai ili ugonge vizee vya wazungu nenda Arusha. Ila uwe na mabega imara kwa ajiri ya kubeba mabegi yao na uhakikisha unaijua mitaa.
 
Arusha kuna pisi kali .... mbeya utaishia kunyetoka tu
 
Mkuuu mbeya ingependeza zaidi .....naishi arusha nauelewa ule mji ni expensive kwa mabegginer kwahiyo haitakuchukua mda mpaka uwe tee mfukon .....ila mbeya na mwanza cheap sana na chances zimejaaaa kibao ni ww nakujiongeza tu ila arusha panakauzito sana
 
Hamia pale ambapo una michongo na unajua utakachofanya ukifika
 
Asante!
 
Kuna fursa gani uko mkuu?
Ktk sekta ya tourism unataka kuajiriwa ama kujiajiri?

Km unataka kuajiriwa basi kuna kampuni nyingi tu za utalii ambazo utaweza pata nafasi za kuwa Dereva....uweze kuwaendesha wateja, guider wa wateja wanaohitaji huduma za kampuni yenu etc

Kujiajiri.
Ukiwa na mtaji utaweza fungua duka la kuuza vitu vya asili, waweza ukawa unaenda kwa wamasai waliopo vijijini unachukua bidhaa wanazotengeneza alafu unazileta mjini, ama unawaelekeza wakutengenezee vitu fulani kulingana na preference ya soko la mjini.
 
Ndio maana nikasema aende mbeya akajipange then akiwa na fedhe aje arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…