Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Chugga pagumu, Mwanza pako poa sana Kimaisha kuanzia watu wa kawaida mpaka wa Kati.

Bata unalokula kwa laki Arusha Mwanza ni elfu arobain hivi.

Hotel nzuri za Maana Arusha zinaanzia 80,000 wakati Mwanza ukiwa na 40,000 Hotel nzuri tu.

Siku maisha yakikubamba unaenda zako mwaloni hukosi kuja na Sato Sangara au Hata dagaa.

Mji unazungukwa na wakulima hasa Unga bei chee kabisa.
 
Arusha usije huku hata viwanja watu wanauza bei ghali kuliko mikoa mingine pia kodi za nyumba na frame bei ghali. Mbeya fursa nyingi sana kutoka itakua rahisi.
 
Upo msingi au sekondari?
Arusha ujue kukimbizana na noti,vinginevyo ubakie Dar
 
Matako bar
Unajua hilo jina ni waungwana tu waliwakatia wale individual wanayofanya kazi pale kwa kua huko nyuma sio masiara, ukimiliki demu wa pale ni sawa na unamiliki mzigo fulani hivi wa maana kwenye life lako
 
Unajua hilo jina ni waungwana tu waliwakatia wale individual wanayofanya kazi pale kwa kua huko nyuma sio masiara, ukimiliki demu wa pale ni sawa na unamiliki mzigo fulani hivi wa maana kwenye life lako
Hahaaaaaaa pale ni hatar sana mkuu
 

Bro si kweli kabisa,we mwambie tu arusha panaugumu lakini sio kwamba kuna ubaguzi..ktk mikoa ambayo haina ubaguzi ni Arusha,mwambie wajuaji ni wengi,wengi wanaijua hela vilivyo.ukiitoa Dar sehemu yenye mwingiliano wa makabila mengi ni Arusha.tatizo pale hata shilingi mia hakuachii kila mtu anaijua hela
 
Ukweli asilimia mia moja ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…