Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,816
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza miongoni mwa masharti ya ufunguzi ya anga lao ni kuruhusu ndege kutoka mataifa yanayoruhusu raia wa Nigeria kuingia nchini mwao na si vinginevyo.